manchester united

Manchester United Football Club is a professional football club based in Old Trafford, Greater Manchester, England, that competes in the Premier League, the top flight of English football. Nicknamed "the Red Devils", the club was founded as Newton Heath LYR Football Club in 1878, changed its name to Manchester United in 1902 and moved to its current stadium, Old Trafford, in 1910.
Manchester United have won more trophies than any other club in English football, with a record 20 League titles, 12 FA Cups, five League Cups and a record 21 FA Community Shields. United have also won three UEFA Champions Leagues, one UEFA Europa League, one UEFA Cup Winners' Cup, one UEFA Super Cup, one Intercontinental Cup and one FIFA Club World Cup. In 1998–99, the club became the first in the history of English football to achieve the continental European treble. By winning the UEFA Europa League in 2016–17, they became one of five clubs to have won all three main UEFA club competitions.
The 1958 Munich air disaster claimed the lives of eight players. In 1968, under the management of Matt Busby, Manchester United became the first English football club to win the European Cup. Alex Ferguson won 38 trophies as manager, including 13 Premier League titles, 5 FA Cups and 2 UEFA Champions Leagues, between 1986 and 2013, when he announced his retirement.
Manchester United was the highest-earning football club in the world for 2016–17, with an annual revenue of €676.3 million, and the world's third most valuable football club in 2019, valued at £3.15 billion ($3.81 billion). As of June 2015, it is the world's most valuable football brand, estimated to be worth $1.2 billion. After being floated on the London Stock Exchange in 1991, the club was purchased by Malcolm Glazer in May 2005 in a deal valuing the club at almost £800 million, after which the company was taken private again, before going public once more in August 2012, when they made an initial public offering on the New York Stock Exchange. Manchester United is one of the most widely supported football clubs in the world, and has rivalries with Liverpool, Manchester City, Arsenal and Leeds United.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Man United 1-1 Chelsea ngoma ngumu, watoshana nguvu

    Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022. Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
  2. babu M

    Mchezaji wa Manchester United anashikiliwa na polisi kwa kudaiwa kubaka na kumpiga girlfriend wake

    Mchezaji wa Manchester United Mason Greenwood ameshikiliwa leo na Polisi kwa kosa la kumbaka Girlfriend wake na kumpiga. Msemaji wa Polisi jijini Manchester UK amesema kwamba walianza uchunguzi baada ya picha na video zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao zilizopostiwa na mwanamke zikiripoti...
  3. Cannabis

    Ole Gunnar Solskjær afukuzwa, Manchester United watoa tamko rasmi

    Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
  4. Shadow7

    Ronaldo apewa jezi namba 7 na Cavani kuchukua namba 21 Manchester United

    Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea. Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia...
  5. Shadow7

    Manchester United kutumia mbinu hii kuinasa saini ya Haaland

    MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali. United kwa muda mrefu imekuwa ikiripotiwa kwamba inahitaji saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland ila mambo yamekuwa magumu. Kwa sasa wanaamini kuwa...
  6. C

    Dortmund watengeneza zaidi ya €200m kwa mauzo ya wachezaji hawa

    Rejea kichwa cha habari Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100 Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For €85M to MANCHESTER UNITED, PROFIT €77.2M Christian Pulisic from BORRUSIA DORTMUND YOUTH ACADEMY, Sold...
  7. Ikaria

    Tafakari ya mashabiki wa Manchester United

    Pogba kutaka kuondoka Manchester United sio tatizo. Ila tatizo ni kumtafuta mbadala wake. Kweli?
  8. C

    Ronaldo and Messi is it coincidence?

    ▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo ▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10 ▪️Lionel Messi won his...
  9. C

    Manchester United na mkosi wa vikombe 🤔

    After the Europa League final heartache💔 on the 26th May😁Wachezaji wao wote went to their respective national teams in search of TROPHY..... ▶Fred Brazil❌ ▶Cavani Uruguay❌ ▶Bruno Portugal❌ ▶McTominay Scotland❌ ▶D.James Wales❌...
  10. Mnyuke junior

    Sancho na Manchester United

    Wakala wa Jadon Sancho amekubaliana na uongozi wa Manchester United juu ya uhamisho wa mchezaji huyo kwenye dirisha la usajili majira haya ya kiangazi Sancho amekubali kujiunga na mashetani wekundu mpaka juni 2026, kazi iliyobaki ni Manchester united kukubaliana na borussia Drtmund ada ya...
  11. Shadida Salum

    Kumbukizi: Ajali ya Ndege iliyoua wachezaji 8 wa Manchester United

    Ilikuwa Februari, 6, 1958, Timu ya Manchester United ilikuwa ikitokea Belgrade, kucheza na timu ya Red Star. Manchester ilikuwa chini ya Kocha Matt Busby; wachezaji wake walijulikana kama "Busby Babes". Sare ya 3-3 waliyoipata kwenye mchezo huo iliifanya Manchester United kutinga nusu fainali...
  12. H

    Nimejifunza kitu jana katika maandamano ya washabiki wa Manchester United

    Jana wakati nimekaa tayari kutaka kuangalia mechi ndio yakatokea yale ya washabiki lakini mimi sitaki kuongelea lile tukio maana tumeliona sote macho yangu yalikuwa kwa Police. Kwa kweli wenzetu na weledi mkubwa sana jinsi walivyokuwa wanawaondoa mashabiki uwanjani mpaka kule nje ni kama...
  13. Ghazwat

    Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kwa Simba SC, wafanye kama Manchester Utd

    Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa. Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya...
  14. Sam Gidori

    Ligi kuu England: Crystal palace yatoshana ubavu na Manchester United, Sheffield United yang'ara

    Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa 5 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. United inahitaji sana kushinda katika mchezo kwani Jumapili ya...
  15. Shadida Salum

    Ligi Kuu England kuendelea leo: Chelsea kuumana na Manchester united

    Ligi kuu England inaendelea leo katika viwanja mbalimbali ambapo mchezo wa awali Crystal palace atakipiga dhidi ya Fulham saa tisa jioni. Leicester city ambayo inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo itakutana na Arsenal ambayo inashika nafasi ya kumi na moja. Na huko katika Dimba...
  16. Shadida Salum

    Ligi ya Europa: Manchester United kuvaana na AC Milan

    Manchester United itacheza na washindi mara saba wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, AC Milan katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa. AC Milan, ambayo inashika nafasi ya pili katika Serie A, bado haijawahi kushinda mashindano ya Europa, wakati ushindi pekee wa United ulikuwa mnamo 2017. Arsenal...
  17. Shadida Salum

    Ligi ya Europa: Manchester United uso kwa uso na Real sociedad, Arsenal kumenyana na Benfica

    Takwimu zinaonesha Manchester United imeshinda mechi moja tu kati ya tisa za nyumbani walizocheza dhidi ya timu za Uhispania, wakishindwa kufunga katika mechi mbili. Mechi moja waliyoshinda ilikuwa dhidi ya Real Sociedad katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Ulaya msimu wa 2013-14 Kwa...
  18. M

    Liverpool vs Manchester United. Nani kupoteza uongozi

    Ni game ngumu ambayo itakuwa na ufundi na ujuzi wa hali ya juu. ila naona kabisa Man U wakija na lengo la kuzuia zaidi na kushambulia kwa njia ya counter attack. Liverpool kama kawaida yake akiwa ndani ya anfield ni kuprocess mpira vilivyo na kufanya pressing ya nguvu pindi mpira unapokwa kwa...
  19. D

    Manchester united and Yanga frames

    Picha za ukutani zenye upana wa 30 cm na Urefu wa 40 cm , au unaweza kusema A3. Gharama yake 25,000/= A4 ni 15,000/= Ukitaka picha yoyote ya ukutani special for you, pia tunakutengenezea. Delivery tutafanya pia. Tuwasiliane +255 743978475 Instagram kanvas.co.tz
  20. Jiwe_Tanzania

    Dazzle camouflage: Michoro katika jezi ya tatu ya Manchester United

    Kuna kitu kimoja kuhusu hii jezi. Mchoro wa hii jezi unaitwa Dazzle Camouflage. Dazzle camouflage ni mchoro ambao ulikuwa unatumika kwenye vita vikuu vya kwanza vya dunia. Dazzle camouflage kwenye meli za Kivita ilikuwa inachorwa kwa kumaanisha hao ni MA - FIGHTER , WANA SPEED , HAWAPIGWI...
Back
Top Bottom