" Kama unazungumza harakati za Mandela, unazungumza harakati za Mwalimu, unazilinganisha na nani hapa?
Hizi harakati hizi za mtu unasema uongo alafu unalipwa, hizo harakati gani?
Harakati za kina Mandela, harakati za kina Nyerere zilikuwa ni 'factual'. Hata wale waliokuwa wanapambana nao na...