Wasira: Huwezi kulinganisha Wanaharakati wa kulipwa na wazungu na harakati za Mandela na Mwalimu

Wasira: Huwezi kulinganisha Wanaharakati wa kulipwa na wazungu na harakati za Mandela na Mwalimu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079


​
" Kama unazungumza harakati za Mandela, unazungumza harakati za Mwalimu, unazilinganisha na nani hapa?

Hizi harakati hizi za mtu unasema uongo alafu unalipwa, hizo harakati gani?
Harakati za kina Mandela, harakati za kina Nyerere zilikuwa ni 'factual'. Hata wale waliokuwa wanapambana nao na kuwadai, walikuwa wanaona 'sense'.

Wakati Waingereza wanamwambia Mwalimu: "Wewe watu wako hawajasoma, tatajitawala namna gani?" Anawambia: "Nani ambaye akawasomesha? Ni nini mlichokutusomesha?"

Lakini anawambia: "Mimi nikiwa na koti langu ikiibiwa, ukiiba wewe, huwezi kuniambia kwamba siwezi kuidai kwa sababu sasa hivi hainitoshi. Swala la kunitosha au kutonitosha ni langu, lakini coat is mine. Give us our freedom.

Ndio ilikuwa ni wanasiasa walio reasoning'.
Wana harakati wa kulipwa na wazungu, alafu unaleta kwenye mtandao ili utake watu wapigane? Si tungetaka kupigana tukidai uhuru tungeweza?

Lakini nchi ilikuwa peaceful kabisa. Ndio. Na waliokuwa wanaendesha harakati hizo walikuwa vijana, Mwalimu hakuwa mzee. Ndio, ameanza '52 ana miaka 30, amekuwa Rais akiwa na miaka 39. Ndio. Ndio.

Sasa hiyo ukilinganisha hawa sasa wanaitwa wanaharakati... I don't know, wana harakati wa utwala wao, lakini sio 'really'wa kulinganisha na hao magwiji wa harakati kama Mandela ambaye alikuwa 'ready' kukaa jela miaka 27 kuliko 'ku-compromise'. Ndio. Wana-'fight apartheid'.

Huwezi kulinganisha na hawa. Kulinganisha hapa ni kosa sana kulinganisha"- Amesema Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira
 
Mbona hata Nyerere alisaidiwa? Walipata sana foreign support na misaada kutoka nje. Kwani kupata funding ndio kunafanya hoja isiwe na mashiko?

Halafu adui wa sasa ni tofauti, mwalimu alikuwa anapambana na mkoloni mweupe. Hawa wa sasa wanapambana na mifumo mibaya, rushwa, na uonevu wa ndani ya nchi, it's a different battle, na zote zina umuhimu sawa.
 
The thing is, hata hawa wanaharakati wa sasa wakiingia madarakani mambo hayatabadilika. Ulalamishi utabaki, matatizo yatakuwepo, maskini na uhitaji vitakuwepo na pengine kuongezeka.

Utoshelevu halisi hautategemea aina ya politics. Kwanza, I think chini ya politics za sasa za nchi hii, yeyote anaweza kuwa yeyote. Shida iliyopo ni watu kutojisimamia na kufanya maamuzi au jambo sahihi kwa kuaminishwa kwamba politics ndizo zinazowakwamisha. No, big no!
 
Back
Top Bottom