Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo.
Si tu katika michezo...
Bondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mandonga aliyoa tambo hizo wakati wa mkutano na...
Kwa uelewa wangu mdogo wa boxing baada ya kuufatilia ni kwamba,
Points zinapotangazwa mfano 56 kwa 59 bila kutaja majina ni kwamba yule bondia aliyeingia mwanzo points zake ni zile zinazotajwa mwanzo na zinazotajwa mwisho ni za bondia wa mwisho kuingia. Na hata majina yanavyoandikwa kwenye tv...
Rais wa Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) Chaulembo Palasa amesema Bondia Mtanzania Karim Mandonga hajafungiwa kama inavyoripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari bali sheria za ngumi nchini zinamtaka Bondia yoyote atayepoteza pambano kwa KO au TKO kabla ya kurudi ulingoni...
"Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
👉Pambano la Mandonga Zanzibar lifutwe 🙅
Hivi kweli Chama cha Ngumi Tanzania viongozi wao wanaelewa vyema sheria za mchezo huo?
Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani, hivi kweli Mandonga anastahili kuangaliwa tu na kuachwa acheze mchezo huo,bila kuzingatia hali yake?
Kwanini Mtanzania huyu...
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza.
Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya tatu ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa...
Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili,
Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii.
Chama Cha ngumi Cha Tanzania...
Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni
Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa.
Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
Bondia wetu Mandonga taratibu anaanza kutoka nje ya reli. Ule umaarufu wake umeanza kupotea kiaina. Yeye sio wa mwanzo wala sio wa mwisho katika watu walioibuka na ku-vibe kisha kupotea.
Huko nyuma alishawahi kuwepo babu wa loliondo, nabii tito, pierre likwidi, Dr. Shika na wengineo wengi...
Bondia maarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema.
Wawili hao wamebadilishana mawili matatu na bila shaka sasa tutarajie pambano kabambe la Mandonga Ulaya au America.
Tunawatakia kila la heri.
Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu.
Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro.
Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali.
Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika Jumamosi nchini Kenya.
Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/
Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.
Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru...
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio...
KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO
Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’
Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo...
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.
Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi...
Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana.
Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga.
================
Amekuja na ngumi inaitwa Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwa mlipuko wa mabomu.
Tanzanian boxer Kareem...
Wakuu huyu kipenzi chetu cha watanzania anatuburudisha vzr sana kwa aina ya kipee sana [emoji38]. Ni bondia anaependwa vzr sana na anafatiliwa hadi na vingozi wa kiserekali hasa waziri mkuu wetu hvyo tuomba mtuletee pambano hilo ambalo limeteka nyoyo za mashabiki wengi wa ngumi kwa Kenya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.