mandonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Mandonga kuzichapa Kenya

    Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi. Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya. Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa
  2. Pang Fung Mi

    Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

    Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023. Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
  3. JanguKamaJangu

    Bondia Karim Mandonga amchakaza Alibaba

    Bondia Karim Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa pointi dhidi ya Alibaba Tarimo katika pambano la uzito wa kati lisilo la ubingwa la Raundi 4. Akizungumza baada ya ushindi huo Mandonga amesema alichoahidi amekitimiza kwa kuwa mpinzani wake hakuw ana uwezo wa kupigana naye. Upande wa Alibaba...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Mandonga: Namtaka Mwakinyo bondia wa mchongo

    Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo. Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo.
  5. JanguKamaJangu

    Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

    Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022. Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali...
  6. Rusumo one

    Mandonga anaua huu amkeni

    Amkeeniiiiii
  7. JanguKamaJangu

    Mwamuzi aliyesimamia pambano la Mandonga asimamishwa

    Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya Uamuzi. Wali, Rais wa TPBRC, Chaurembo Palasa aliufuta mchezo huo wa Septemba 24, 2022 kutokana na...
  8. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua" Mandonga licha ya kupoteza kwa kupigwa kwa aibu katika mapambano yake.bado hajawahi kuonesha...
  9. Natafuta Ajira

    Mandonga apigwe stop kupanda ulingoni

    Nafikiri sasa ni muda muafaka cha chama kinachosimamia mchezo wa ngumi kumzuia Mandonga kupanda ulingoni. Kwanza huyu jamaa anahatarisha usalama wake, ngumi sio mchezo wa kupanda panda ulingoni kila mwezi. Pili anaudhalilisha huu mchezo, inaonekana ni kama anafanya comedy. Tunajua anatafuta...
  10. Analogia Malenga

    Rais wa ndondi afuta pambano la Mandonga

    Rais wa Ndondi Tanzania, amefuta pambano la Karim Mandonga na Salim Ally kutoka Tanga. Pambano lilikuwa la round nne ambalo walipambana hadi mwisho. Hata hivyo Rais amefuta pambano hilo baada ya referee kutochezesha pambano kwa usawa, ikiwemo kutomuhesabia Mandonga alipoangushwa.
  11. Sildenafil Citrate

    TPBRC: Mapambano ya Mandonga hayatambuliki

    Achana na umaarufu wa Karim 'Mandonga' Said, unaambiwa mapambano yote aliyocheza hivi karibuni, ni ya maonyesho ambayo hayajampa rekodi yeyote kwenye renki. Pambano lake la Machi 26 alilochapwa kwa Knock Out (KO) na Magambo Christopher ndilo lilikuwa la mwisho kuingizwa kwenye rekodi, huku lile...
  12. Mwande na Mndewa

    Mandonga: Namtaka Mwakinyo, changamoto za viatu haziwezi kunipa shida

    Leo 13:15hrs 04/09/2022 Mandonga, shujaa wa ulingoni mwenye ujuzi mkubwa na mbinu za kuvutia, tekniki na ubora wa hali ya juu, timamu wa akili ya ngumi, mwepesi wa mwili mwenye kipaji cha kuzaliwa cha masumbwi, si mpiganaji mjanja bali mpiganaji mwenye skills zilizokwenda mbele zaidi kwenye...
  13. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Pendekezo: Taifa Stars iitwe Mandonga Stars

    Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars. Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
  14. FourTwoNet

    Mandonga mtu kazi!!!!

    Ukitaka kuona maajabu ya Mandonga mtu-kazi, soma uzi huu. Kisha kama una taarifa zake, weka maajabu yake hapa!!!
  15. MAKA Jr

    Suala la Karim Mandonga: Vyombo vya habari vimechemka

    Popote mlipo, vyombo vya Habari na waandishi wote wa Habari nchini hamjatumia weledi katika kuripoti Habari ya Mandonga. Hamjatusaidia na wala hamjatupa elimu ya kutosha katika hili. Mmekuwa kama kasuku. Lakini ni kawaida yenu. Imefika hatua sasa, kila mtu anataka kuwa hodari wa kuelezea jinsi...
  16. Suley2019

    Shabani Kaoneka alalamika Mandonga kupambwa zaidi yake aliyeshinda pambano

    Mabondia Karim Mandonga na Shaban Kaoneka wamerudi tena kwenye headlines kufuatia kauli ya Shaban Kaoneka aliyoitoa jana akizungumza na Wasafi. "Mandonga amepata bahati kuliko mimi, waandishi wa habari wakati mwingine mnakuwa wanafiki, mimi niliyeshinda nakuwa masikini aliyepigwa anakuwa...
Back
Top Bottom