Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM watatishika sana.
Hio haipo na haijawahi tokea Duniani labda ianzie Tanzania kwa mara ya kwanza. ni sawa na...
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?
Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?
Machawa wa Lissu saidieni hili
Sote au wengi tunajua kwamba kuna mfumo unatumika kuficha maneno ambayo ni matusi mara nyingi kwa kugeuza herufi zote au baadhi ya herufi za tusi hilo kuwa nyota. Mfano mzuri ni kwenye subtitles za video mbali mbali au hata kwenye mitandao mfano humu Jamiiforums utaona kwa mfano neno KAMA...
Ndugu zangu huku tukisubiria mwaka mpa tutumie huu uzi kujuzana maneno ya wakosaji, yaani yale maneno wanayotumia wasionacho kujifariji wakiowaona wenye nacho. Mimi nitaanza na haya.
"Kwani IST nayo gari sasa" (hapo jamaa anasubiri foleni ya mwendokasi Kimara - Morocco
"Huyo dem tumegonga sana...
Mnaokwenda kuombewa kwanza hamna uhusiano mzuri na Mungu BABA YENU. Hailezeki hata kwa maisha ya kibinadamu una baba yako mzazi huwezi kumuendea kumuomba kitu mpaka utumie kuwadi fulani anayejiita mtume, nabii,kuhani, mwalimu nk eti akuombee. Huu ni upumbavu na afya mbovu ya akili. Kama ulienda...
Nimepata jirani mkongo ameni inspire LINGALA.
Ozali malamu- mambo vp?
Nazali kobela- naumwa
Kombo na yo- jina lako nani?
Bolingo na ngai- mpenzi wangu
Posa ya mayi- kiu ya maji
Muzina di tata Nzambe -kwa jina la Mungu baba
Motema na ngai-moyo wangu
Kopo ya masanga- glass ya pombe
Nyama ya...
https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c
Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria.
Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza
Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
Habari zenu wana kiswahili...
Kwa mara nyengine nimeamua kuibukia huku tena ili nieleze dukuduku langu juu ya maneno kama mawili matatu ambayo sijavutiwa nayo!.
pia ningependa mabaraza ya Kiswahili yayafute na aidha yachukue maoni kutoka kwa wadau kisha ndio wawe wanayarasimisha maneno ambayo...
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge
Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti
Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
Wakuu,
Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo
Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM...
Aiseee....Mimi nachukizwa na neno kwa sasa tupo katika mchakato,au hili neno Vijana inabidi mkajiajiri msisubiri ajira serikalini!!
Haya ni maneno yanayoumiza moyo wangu kwani ni maneno yasiyokuwa na akiba ya huruma kwa vijana pia kwa wapiga kura!Ongezea na wewe!
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni
Jim reeves:
•Seno Santa Claus
•Jingle bells
•Silent night
•Mary's boy child
SILVER BELLS:
"City sidewalks, busy sidewalks
Dressed in holiday style
In the air
There's a feeling
Of Christmas
Children laughing
People passing
Meeting...
Wakuu,
Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024.
Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi tu ndo wamebadilishiwa majukumu lakini serikali ni ile ile.
Pia Rais Samia alitumia hotuba yake...
Sio kila vita unapaswa kupigana, sio kila ushindi huja na furaha, vyote nitakavyopoteza vinaweza kupatikana ukipambana tena.
Anamshukuru Mungu kwa kumpa Adui anayemfahamu ila bado jambo moja tu ampe na Rafiki asiyemfahamu.
Hakuna wa kuchukua nafasi ya mwingine bali majukumu, hakuna wa kuziba...
Hello!
Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe.
Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030.
Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?
2. Nini Kiswahili cha haya maneno...
Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu?
Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.