Alipoona Kandili hajibu neno aliongeza, “Nitakuibia siri yetu wanawake. Sisi huwaweka wanaume wote katika mafungu matatu. Fungu la kwanza ni la wale wanaume ambao tunawapenda kwa dhati. Wanaume ambao tuko tayari kuishi nao kwa heri au shari.
Kundi la pili ni la wanaume wazuri wa sura ya umbo...
Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe
Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alikuwa anaondoka kuelekea Zanzibar, baada ya utawala wake wa miaka 10...
1. Hamuwezi mechi za kimataifa
2. Medali ya kombe la looser
3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana
4. Sio Shirikisho huku.
NB
Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
Inategemeana na unavyoyatumia!
Yanaweza kukufanikisha!
Yanaweza kukukwamisha!
Yanaweza kukutajitisha!
Yanaweza kukufukarisha!
Leo yako ni matokeo ya maneno ya Jana. Kesho yako haitakuwa tofauti na maneno yako ya leo. Kama hujajizoesha, bora uanze sasa. Tumia kinywa chako kwa makini sana...
What is the etymology of the Swahili words you are coining? The science of the origin of the words you are coining ni ipi?
Mfano, Akili Mnemba, Mnemba etymology yake ni ipi?
Mfano, in English, Tele means FAR, and PHONE means sound, therefore TELEPHONE means FAR SOUND ie one can hear a sound...
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa
2. Mwandu-uke
3. Kifuku-masika
4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu
5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka
6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua
7. Manda-wali
8. Mweche(ukwale)-hamu
Bingwa Mtata Mtatuzi Hassan Mwakinyo amefanikiwa kunyakua Mkanda wa WBO baada ya kumtwanga Bondia kutoka nchini Ghana Elvis Ahorgah kwa KO raundi ya 7 katika pambano lililofanyika visiwani Zanzibar.
Bingwa huyo mtata Mtatuzi Champez Hassan Mwakinyo amewadhihirishia watu kuwa yuko fit na ana...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani.
Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja.
Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe...
Ni moja ya sajili Bora kabisa ambayo Eng.Hersi said anastahili pongezi za dhati, ni goalkeeper ambae amekomaa vya kutosha na uzoefu wa kutosha!
Mechi yake ya kwanza dhidi ya south Africa anaondoka na clean sheet uku akiwabeba Mali mgongoni mwake, save 6 za maana uku 3 akizifanya ndani ya box...
Vipi wakuu.
Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu.
Najua fika kuwa...
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu!
Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa!
Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
"UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI"
Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki huku wao wakidhani wamefanikiwa walichokilenga kwangu wakati kumbe mimi ndiyo nawasanifu kuliko...
1. Naomba
2. Nadhani
3. Sijui
4. Jitahidini
5. Sikubaliani
6. Hela ipo
7. Nasikitika
Ukikutana na Mtu yoyote anasema Maneno haya tajwa hapa juu jua tu kuwa hana akili (Upeo mdogo ), Mvivu Mvivu hata katika Kuongea na Kutembea na yuko hapo aliko kwa bahati mbaya mno.
Wanajamii,
Leo nafanya kuwakumbusha tu, siku hazigandi huku mbeleni miaka mia ijao kizazi cha wakati huo kitakuwa na fikra tofauti sana na zetu. Hivyo basi nyie watu ambao akili zenu mmezifanya mgando, hazishauriki na kubadilika ili kwenda na wakati. mtachekwa sana. Maana kwa wakati huo history...
Kuna baadhi ya wauzaji au madalali wa Magari wanasema Gari ambayo ni 4Wd sio nzuri kwasababu zifuatazo.
1. Zinakunywa sana Mafuta
2.Utengenezaji wake unakuwa mgumu.
Hapo nazungumzia kwa upande wa Zanzibar,tena kwa baadhi ya Yadi ambazo ni maarufu.
Kwa mfano Dalali anaweza kukuambia kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.