mangapwani

  1. chiembe

    Bandari ya Mangapwani Zanzibar au Bagamoyo Bara? Ipi itaitoa nchi yetu kiuchumi?

    Nimemuona Rais Mwinyi akiwa Uchina akipigia debe, pamoja na mambo mengine, Bandari ya Mangapwani. Katika hotuba zake kadhaa, Rais Mwinyi ameonyesha nia ya dhati kuifanya bandari hiyo iwe kubwa kabisa Afrika Mashariki. Upande wa pili, inaelezwa kwamba bandari ya Bagamoyo ikikamilika, itakuwa na...
  2. Mzee Rufiji

    Majina ya maeneo Zanzibar yanavyoacha watu midomo wazi

    Wengi hawajui kama Zanzibara hasa Unguja iliwahi kuwa na usafiri wa reli iliyojengwa mwaka 1905. Sauti na mlio wa treni hiyo ilipokuwa ikipita ikazaa jina bububu. Barabara katika eneo la Bububu. Hivyo bububu ni tanakali sauti yaani jina linalotokana na sauti ya kitu. Kama ilivyo sauti nyau...
Back
Top Bottom