mange na recho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ikiwa RECHO DANGWA Katekwa Japan, huo ni Ugaidi wa Tanzania dhidi ya JAPAN, Ugaidi ulokusudia kudhalilisha Vyombo vya Ulinzi vya Japani. TUJIANDAE!

    Ugaidi wenye Lengo la Kutisha Wanaharakati waishio Nje. Ugaidi wenye Lengo la kudumaza Uhuru wa Kuongea Ugaidi wenye Lengo la kunyamazisha Wakosoaji. Ugaidi unaoionyesha Dunia kwamba Tanzania chini ya Samia umeamua kua ya udilteta. Maana yake nini?. Je Serikali ikiwa ilimtaka RECHO...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh: Nawasomea dua Mange Kimambi na Recho na hamtowasikia wakimtukana tena Rais Samia

    Wakuu, Sheikh Sharifu Firdaus Al qadiri anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…