Wakuu,
Sheikh Sharifu Firdaus Al qadiri anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania
Huwezi kutanguliza amani bila haki, haki ndiyo huzaa amani Sheikh!
Tunachofanya watanzania kwa sasa ni kudai haki ya Katiba mpya, haki ya uchaguzi huru, haki ya Maslahi ya Taifa maana Maafisadi wanakula na hakuna sheria yeyote iliyowafunga hadi sasa licha ya madai yote yanayoendelea kutolewa na wananchi
Haki kwanza kisha amani itakuwepo, acha kina Mange watukane ni hasira sana hiki kinachoendelea alafu kiongozi wa nchi anasema tu eti mmetia mpira kwapani