GE2025 Sheikh: Nawasomea dua Mange Kimambi na Recho na hamtowasikia wakimtukana tena Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Badala ya kuwasomea mapolice wanaoteka wananchi na mwenye kuwatuma, unasomea watu wanaolopoka bila madhara?
 
Wakuu,

Sheikh anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania

Huwezi kutanguliza amani bila haki, haki ndiyo huzaa amani Sheikh
Tunachofanya watanzania kwa sasa ni kudai haki ya Katiba mpya, haki ya uchaguzi huru, haki ya Maslahi ya Taifa maana Maafisadi wanakula na hakuna sheria yeyote iliyowafunga hadi sasa licha ya madai yote yanayoendelea kutolewa na wananchi

Haki kwanza kisha amani itakuwepo, acha kina Mange watukane ni hasira sana hiki kinachoendelea alafu kiongozi wa nchi anasema tu eti mmetia mpira kwapani

Shehe ubwabwa
 
Jinga kabisa kabisa...
 
Sheikh ungeonekana na busara kama ungeiombea nchi haki!
Ungekemea utekaji na mauaji, hii unayozungumza imekaa kizamani sanaa, Mungu hawezi sikiliza huo upuuzi!
 
Wakuu,

Sheikh anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania

Huwezi kutanguliza amani bila haki, haki ndiyo huzaa amani Sheikh
Tunachofanya watanzania kwa sasa ni kudai haki ya Katiba mpya, haki ya uchaguzi huru, haki ya Maslahi ya Taifa maana Maafisadi wanakula na hakuna sheria yeyote iliyowafunga hadi sasa licha ya madai yote yanayoendelea kutolewa na wananchi

Haki kwanza kisha amani itakuwepo, acha kina Mange watukane ni hasira sana hiki kinachoendelea alafu kiongozi wa nchi anasema tu eti mmetia mpira kwapani

Sheikh bwabwa
 
siku ya mwisho, huko mbinguni watajaa watu wenye ngozi nyeupe(wazungu)....sisi wenye ngozi nyeusi tutakua wachache sana.
 
Wakuu,

Sheikh anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania

Huwezi kutanguliza amani bila haki, haki ndiyo huzaa amani Sheikh
Tunachofanya watanzania kwa sasa ni kudai haki ya Katiba mpya, haki ya uchaguzi huru, haki ya Maslahi ya Taifa maana Maafisadi wanakula na hakuna sheria yeyote iliyowafunga hadi sasa licha ya madai yote yanayoendelea kutolewa na wananchi

Haki kwanza kisha amani itakuwepo, acha kina Mange watukane ni hasira sana hiki kinachoendelea alafu kiongozi wa nchi anasema tu eti mmetia mpira kwapani

Huyu Shekh kichwa kimejaa mavi
 
Kwanini Jambo la kumkosoa Rais watu wanalichukulia kidini sana kumkosoa Rais ni uwajibu maana ni mtumishi wa Umma kwanini watu wanalichukulia kidini wakati Magufuli anakosolewa hapa atukuskia mambo ya dini TEC wanapiga Uwaraka Magufuli na kuhusu utekaji na COVID mbona atukuskia mambo ya Udini mpaka Magufuli anawanyanganya Passport Maaskofu wa katoliki mbona hatukusema udini Rais na mtumishi wa Umma kukosolewa kupata changamoto ya maandamano kawa
 
Wakuu,

Sheikh anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania

Huwezi kutanguliza amani bila haki, haki ndiyo huzaa amani Sheikh!

Tunachofanya watanzania kwa sasa ni kudai haki ya Katiba mpya, haki ya uchaguzi huru, haki ya Maslahi ya Taifa maana Maafisadi wanakula na hakuna sheria yeyote iliyowafunga hadi sasa licha ya madai yote yanayoendelea kutolewa na wananchi

Haki kwanza kisha amani itakuwepo, acha kina Mange watukane ni hasira sana hiki kinachoendelea alafu kiongozi wa nchi anasema tu eti mmetia mpira kwapani

Sheikh, Amani ipo na imedumu kwa zaidi ya miaka 60 lakini haki haijaonekana au inazidi kutokomea, sasa tujaribu upande mwengine, October 29 tuliamshe tuone haki itakuja au itazidi kutokomea.
CCM tumewapa mda mrefu wa kubadilika lakini wameamua wasibalike, sasa ni jukumu letu kuwabadilsha, na watabadilika.
 
Sheikh ninaemkubali hadi Sasa.
20251004_181804.jpg
 
Huyo shekhe ubwabwa kwanza atuambie dinj yake inaruhusu mwanamke kua kiongozi??? Au anajizima data .... Waislam jamani kemeeni hawa wapuuzi huku kwenye ukristo wameharibua sana sasa naona wamehamia kwenye uislam
 
Back
Top Bottom