manispaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Waziri wa Elimu: Prof. Mkenda, kituo cha Walimu (TRC) Mawenzi Moshi Manispaa wanakusanya michango kutoka kila shule bila kibali chako

    TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina kesho, tarehe 25.01.2024. Kila shule au kituo kinatakiwa kuchangia bila kukosa ni TSh. 100...
  2. Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  3. Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza hivi stendi ya Nyamhongoro mnaionaje?

    Kama kuna aliyetuloga nchi hii basi tumtafute tufanye tambiko laana na uchawi utuepuke, nimefika stendi ya mabasi nyamhongolo nadiriki kusema tumelaaniwa yaani mazingira ya nje kuanzia barabarani hovyo kabisa. Hivi nawauliza mliwaza nini kuacha mazingira yanakuwa ya hovyo kiasi hiki?
  4. S

    Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

    Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine). Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo?? Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
  5. Watumishi 11 wa Manispaa ya Kigoma akiwemo Mkurugenzi wa Igunga wapandishwa kizimbani na kusomewa Mashtaka 11

    Jumla ya watu 11 wakiwemo watumishi saba wa manispaa ya Kigoma Ujiji na maafisa wawili wa Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi Kigoma na kusomewa mashitaka 11 ikiwemo shitaka la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha...
  6. E

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo komesha hii tabia

    Kipindi cha Magufuli watumishi wote walihakikiwa na walioonekana hawana vigezo walitimuliwa. Wakati wa kuhakikiwa kila mtumishi alileta vyeti halisi, barua ya kuajiriwa na ya kudhinitishwa. Vyeti vya ndoa, kuzaliwa/affidavit n.k. Pamoja na nakala za vyeti vyote na barua zote kuwa kwenye faili...
  7. Wananchi Bukoba: Machinjio Manispaa ya Bukoba siyo rafiki kwa matumizi, yaboreshwe

    Wananchi Manispaa ya Bukoba Mjini wameilalamikia miundombinu ya machinjio na kudai kuwa siyo rafiki kwa matumizi ya binadamu na afya kwa ujumla. Baadhi ya changamoto zilizolalamikiwa katika machinjio hiyo ni pamoja na Plumbing system ni chafu na mifereji imekufa, drainage system hakuna, sakafu...
  8. L

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi. ===== Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
  9. Kagera: Watumishi wa Umma washtakiwa kwa Kuficha Mapato ya Manispaa Tsh. Milioni 409.4

    Watumishi hao ni Richard L. Kubona, Adelina K. Leonard na Musa S. Kalumba ambao ni Maafisa Biashara wa Manispaa ya Bukoba wamefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba Mkoani mbele ya Hakimu Mfawidhi Janeth Massesa. Washtakiwa wamesomewa Makosa ya Matumizi Mabaya...
  10. Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi kwa Manispaa ya Ubungo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo. Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
  11. DOKEZO Ufisadi Moshi: Wajenga na kugawa maeneo ya wazi Manispaa ya Moshi. Meya, Madiwani wahusishwa

    Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika. Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo, alipoingia JUMA RAIBU[Meya aliyeondoshwa] alianza kutoa vibali vya ujenzi katikati ya mji kujenga nyumba...
  12. S

    DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

    Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha. Unyanyasaji mkubwa Kwa...
  13. DOKEZO Kupata Leseni ya Biashara Manispaa ya Temeke ni Biashara pia ya watu, lazima utoe rushwa ndio upate huduma

    Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo. Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila kutoa rushwa huwezi kupata leseni ya biashara bila kujali ni kuomba kwa mara ya kwanza au kurenew...
  14. Mbunge Kainja na Wanawake wa Manispaa ya Tabora

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA NA WANAWAKE WA WILAYA YA TABORA (KATA YA MPELA) MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 16 Julai, 2023 amefanya Mkutano wa Hadhara Kata ya Mpela Wilaya ya Tabora ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kukabidhi Milioni...
  15. Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake, Abuu Shayo, wakati akiendesha kikao cha Kamati ya Mipango Miji na Ardhi katika manispaa hiyo. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi, wakati kamati hiyo...
  16. House4Sale Boma linauzwa Manispaa ya Mtwara - Naliendele

    Boma linauzwa, limefikia hatua ya kufunga lanter, lina vyumba 3 vya kulala ambapo viwili ni self, kimoja ni cha kawaida, sitting, dining, jiko pamoja na public toilet. Limejengwa ndani ya eneo lenye ukubwa wa 35x70 ( nusu ekari). Sababu ya kuuza ni kuhamishwa kikazi. Utanipa milioni 9 tu...
  17. Wafanyabiashara Mwenge waliopisha ujenzi wa Stendi wadai wametupwa na Manispaa ya Kinondoni

    Baadhi ya Wafanyabiashara waliopisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mwenge (Mwenge Bus Terminal) na kudai kuwa waliahidiwa kupewa kipaumbele baada ya mradi kukamilika, mambo hayajaenda kama walivyotarajia. Wamedai kuwa ahadi hiyo ilitolewa Mwaka 2019 baada ya Mkandarasi Mshauri kukabidhi...
  18. IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
  19. T

    Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

    Ninashauri viongozi wanaohusika na masuala ya usafirishaji mkoani Shinyanga akiwemo Mkurugenzi wa Manispaa, wakae chini na kujadili namna bora ya kuitoa stand ya mabasi "manyoni" pale Ibinzamata waihamishie Nhelegani mashariki jirani na viwanja vilivyopimwa ili kurahisisha ukuaji wa mji pamoja...
  20. Upo wapo afisa afya wa manispaa na afisa afya wa kata?

    Habari.nilihabarisha hapa juzi na leo nakumbushia.kata ya mshangano mtaa wa mshangano manispaa ya SONGEA watu wengi wanajisaidia porini kuelekea uwanja wa mpira ukipita pale pananuka Sana na hilo linafanyika si kwamba choo ya kulipa hakuna ipo.si hilo tu pale uwanjani watu wanacheza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…