manispaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Magari ya kuzoa taka yaadimika Manispaa ya Kinondoni

    Ni mwezi wa pili sasa magari ya kuzoa taka hayaonekani mitaani na badala yake wakusanya ushuru wa taka ndio wamezagaa kukusanya ushuru wakigonga milango na mageti ya wanamtaa! Hakuna taarifa yoyote kutoka kwa watendaji wa mtaa na mabwana/ mabibi afya wa kata juu ya sakata hili. Natambua uwepo...
  2. peno hasegawa

    TAMISEMI: Bado Afisa Elimu msingi Moshi manispaa yupo ofisini baada ya kuuzia saccos eneo la shule?

    Tunakoelekea tume fila mahali sasa watumishi wa Umma Wanafanya watakalo na hafanyiwi chochote, Je TAMISEMI mama ANJELA KAIRUKI Unafahamu maeneo ya Taasisi Za Umma Mfano maeneo ya shule Za msingi Za serikali yanauzwa? Kama Bado Afisaelimu mtajwa hapo juu yupo ofisini hadi leo kuna kila sababu...
  3. BigTall

    DOKEZO Wateja wapya wa huduma ya maji Manispaa ya Morogoro hawajapata huduma kwa kuwa MORUWASA hawana mita za ziada

    Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira MORUWASA inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mita. Mamlaka ziangalie kuhusu hili...
  4. peno hasegawa

    Tetesi: Moshi: Afisa Elimu wa Manispaa kumuweka LOCKUP mwalimu, walimu kuanza mgomo baridi tar 11.4.2023 kutokufundisha hadi Ngonyani ahamishwe

    Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha . Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
  5. A

    DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

    YAH:- MWALIMU CALVIN TWARILA WA KIBO AACHIWE HURU ANAONEWA!! NAWEKA USHAHIDI WA MAOVU YOTE YA NGONYANI!! Somo tajwa hapo juu lahusika. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa viongozi wote waliolisimamia suala letu walimu!Nianze na ofisi ya Rais, Wizara ya Elimu Tamisemi, Ofisi ya Takukuru...
  6. wajingawatu

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  7. S

    Mapato ya majiji na manispaa yagawanywe kwa asilimia halmashauri za jirani

    Ni ushauri na la kuangalia hili mfano Majiji yana viwanda vingi ,masoko makubwa ,maduka makubwa n.k n.k halafu halmashauri za jirani kushindwa hata kujiendesha kwa kukosa vyanzo vya mapato vya uhakika kwanini asilimia inayopatikana kwenye majiji isigawanywe kwa halmashauri walau kuchangamsha...
  8. marehem x

    Stend ya daladala Mbezi Louis ifikiriwe, UBUNGO manispaa amkeni

    Jamani ifike wakati kuwe na mapaparazi wa maeneo nyeti yenye matukio na mazingira hatarishi. Stend ya daladala ilengwe itajwe kama eneo sensitive. Kuna msongamano mkubwa sana wa binadam. Na vyakula mbogana vitoweo vikiuzwa eneo hili ni hatari sana na magonjwa ni rahisi sana kusambazwa jiji zima...
  9. Somaiyo

    Maelekezo haya kwa Walimu wa Manispaa ya Ilemela yapo nchi nzima?

    Niende kwenye hoja! Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza! Je, Sikuhiz mwalimu ana sign...
  10. GENTAMYCINE

    Hongera Rais Samia, RC wa DSM na Manispaa zote za DSM kwa Kuwarejesha Wamachinga Wakaidi maeneo Wasiyotakiwa Kisheria

    Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo. Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili...
  11. Kaka yake shetani

    Sifa kuwa manispaa mbona tofauti inavotekelezwa

    Manispaa (kwa Kiingereza: municipality) ni mji wenye kiwango fulani cha kujitawala katika shughuli zake. Madaraka hayo ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya mahali iliyochaguliwa na watu wa manispaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu) kuamulia na kukusanya kodi fulani...
  12. N

    Moshi Manispaa: Mwalimu wa kawaida ambae hana cheo hajapata kishikwambi. Manung’uniko yayawala

    Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi. Yani uwe eitha: 1. Mkuu wa shule 2. Second masta 3. Mwalimu wa taaluma (Academic master) 4...
  13. The Spirit of Tanzania

    MORUWASA hivi haya ndio maji safi mnayosambaza manispaa ya Morogoro?

    Naambatanisha picha na video. Je, haya ni maji safi na salama kutumia?
  14. Gan star

    Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

    Wakuu natumaini mko salama, Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba. Ahsante.
  15. Ta-kibombo

    DOKEZO Manispaa ya Kahama mnatia aibu, mji unanuka. Badilikeni

    Kahama ni moja ya miji inayokua kwa kasi sana nchini. Pamoja na hilo, nadhani pia ni moja ya miji michafu sana nchini. Mitaro mingi ya barabarani inatiririsha maji machafu ya bafuni na yakwenye chemba za vyoo. Kuna baadhi ya mitaa ata ukipita kwa haraka unapokewa na harufu kali. Hivi idara ya...
  16. Dr Restart

    Moto unawaka Tabora Manispaa

    Kuna moto mkubwa umezuka katikati ya manispaa ya Tabora eneo la Salmini Toronto. Kwa mujibu wa chanzo cha moto huo huenda ikawa ni hitilafu ya umeme kwa kuwa duka hilo lilikuwa la uuzaji wa vifaa vya umeme na nyumbani. Kitengo cha Zimamoto kilifika kwa wakati ila bahati mbaya gari lilishindwa...
  17. Dr Restart

    Kuona Maiti ikizikwa na Manispaa kumenitafakarisha sana maisha yetu hapa duniani

    Wasalaam!. Kuna ndugu wa Mfanyakazi mwenzangu alipatwa na maradhi, akalizimika kulazwa ili kuendelea kupata matibabu zaidi katika moja ya Hospital za Rufaa hapa nchini. Nilikuwa na ratiba ya kwenda kumuona baada ya ibada. Hivyo nilipotoka kanisani nilienda sokoni kununua baadhi ya vitu vya...
  18. K

    Manispaa ya Kinondoni hamtendi haki katika Ujenzi wa Stendi ya Mwenge, mnabomoa miundombinu mali ya Kanisa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada. Picha na video ni matukio ya...
  19. H

    Je, kujengea nondo kwenye frem ya duka kunahitaji kibali manispaa?

    Habari ndugu. Nina fremu ya biashara nauza maji na vinywaji kwa bei ya jumla lakini kwa sababu ya ufinyu wa nafasi nimeamua kujengea nondo mbele ya frem ili angalau kuweka bidhaa ambazo zimekosa nafasi ndani (nadhani wengi tumeona maduka mengi ya vinywaji wanavyofanya.). Sasa, kama kichwa cha...
  20. peno hasegawa

    Tetesi: Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum

    Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili. Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
Back
Top Bottom