Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo?
Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu.
Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala.
Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021
Ameipandisha hadhi Halmashauri hiyo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za...
Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu
Ansbert Ngurumo | 21st February 2021
Nimemsikiza Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu.
Kwanza, Magufuli...
Huyu Meya alifikiri ni sifa kuwaamrisha watu waliohudhuria mkutano wa baraza la madiwani wa manispaa hiyo kwa mawazo yake ya kijinga kuwa ilikua makosa kuvaa Barakoa wazive na kama hawavui wachukuliwe hatua. Madai yake ilikua eti manispaa haina ugonjwa wa Corona. Kwani Barakoa inakinga Corona...
Maafisa wa manispaa ya Morogoro wamejimilikisha ’vizimba’ na kupangisha upya kwa gharama ya juu! Kwa ujumla kilichotokea Morogoro ni matumizi mabaya ya ofisi ambayo ktk serikali, yako kila sehemu.
1. Ukiwa Afisa Ardhi, unapima viwanja na kujimilikisha viwanja vingi ili uwauzie wengine.
2...
Nashauri Manispaa ya Moshi itangazwe kuwa jiji in 2022.
1) Mji upanuliwe kusini mwa barabara ya Moshi-Arusha, this is very important. Kamwe mji usipanuliwe Kaskazini mwa barabara ya Moshi-Arusha.
2) Sehemu ya kata za wilaya ya Hai na Moshi Vijijini, zinazopakana na Manispaa ya Moshi na...
Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili.
======
WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
Uvutaji sigara kwenye maeneo ya wazi umepigwa marufuku katika mji wa Milan nchini Italia.
Kulingana na uamuzi wa Manispaa ya Milan, uvutaji sigara hautaruhusiwa katika maeneo ya wazi, bustani za umma, viwanja vya michezo, makaburi na vituo vya mabasi endapo kutakuwa watu wengine waliosimama...
Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana.
Nilimsikia Naibu Waziri wa mifugo mh Gekui akiipongeza Manispaa ya Ilala kwa ubunifu huo wa kusafirisha nyama.
Ni vema Serikali...
Katika Manispaa ambazo zilikumbwa na ubadhilifu mkubwa wa pesa za umma na kukosekana kwa systematic audit Manispaa ya Ilala iliongoza kwa kipinding kwa zaidi ya miaka kumi.
Hiii ilitokana na kuwa na mkaguzi wa ndani ambaye hakuweza kuifanya kazi yake kwa weledi. Lakini mnamo mwaka jana 2020...
Hii itapunguza sana urasimu wa kuzungusha watu kutoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine kufuatilia vibali vya aina mbali mbali ambavyo vingeweza kutolewa na taasisi moja tu kwa urahisi sana. Mfano , kuna haja gani ya kwenda kuchukua leseni manispaa badala ya TRA ambao ndio wanatoa Tax clearance...
Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi.
Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu.
Miaka hiyo majambazi hawakuwa na urafiki na taa za barabarani. Kila...
Wanabodi,
Hili bandiko la ulizo kuhusu usalama wa maisha ya wakazi wa manispaa ya Morogoro kwa kuwepo mashamba makubwa ya mkonge mali ya magereza huku idadi ya wakazi wake kuzidi kuongezeka na mahitaji ya ardhi kuwa makubwa.
Eneo kuanzia Mkambarani hadi Kingolwira kuna mashamaba makubwa kando...
Maafisa biashara wanaofunga maduka ya wafanyabiashara wasio na leseni za biashara au ambaio leseni zimeisha wanachukua rushwa ya TZS 20,000. Ukishindwa wanafunga duka mpaka utakapo wapelekea wanakuja kufugua. DED fanya kazi kama Mhe. Magufuli pita Kata zote walizopita maafisa biashara wako...
Huwa tunashuhudia makampuni yakipewa kandarasi za kufagia barabara na kusafisha mitaro kwa malipo maalum. Sasa je, ni kipi kinachoshindikana kwa beach mbali mbali hapa jijini Dar hadi ambazo zinajaa matakataka ya plastiki yanayosukumwa na maji toka baharini?
Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro imesema, matukio ya kuungua mara kwa mara mabweni ya Shule ya Seminari ya Wasichana ya Kiislamu ya Kaloleni ni hujuma.
Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Michael Mwandezi alisema hayo wakati akikagua athari za moto uliotokea Oktoba 8, mwaka huu, saa 1:15 usiku...
Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta.
Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera...
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.