manispaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Songambele

    Halmashauri ya Manispaa Ubungo - Hili Tangazo Mnaongeza gharama za kufanya Biashara

    Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
  2. GENTAMYCINE

    Je, unadhani huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa alikuwa anawalenga hasa 'Wageni Wasafiri' kutoka Mkoa gani?

    "Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
  3. peno hasegawa

    Meya Mji wa Moshi awa mkandarasi ujenzi wa madarasa kwa fedha za IMF

    Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa. Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
  4. Superbug

    Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
  5. F

    Ubadhirifu unaochochewa na tamaa kwa watumishi wa umma Manispaa ya Temeke

    Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara. Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine...
  6. beth

    Afghanistan: Meya wa Kabul azuia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kwenda kazini

    Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake...
  7. Kiume3000

    Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
  8. TheDreamer Thebeliever

    Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

    Habari wadau, Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

    Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi. Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua...
  10. mshale21

    Wakurugenzi wa Manispaa/ Halmashauri kuiba mali au fedha za serikali, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

    Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi! Hii hali haikomi? Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
  11. The Assassin

    UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  12. Suley2019

    Ofisa mifugo mbaroni kumkashifu Naibu Waziri Katambi

    OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira. Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
  13. Bams

    Rais Samia zingatia Sheria kwenye teuzi za Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji

    Mh. Rais, umekamilisha teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya. Na sasa bado nafasi za wakurugenzi wa Halmashauri, miji, manispaa na majiji. Teuzi zilizotangulia, zilikuwa ni teuzi za ulaji na shukrani kwa sababu kimsingi wakuu wa wilaya na mikoa, tangu enzi za mkoloni, walitumika kama vikaragosi wa...
  14. TheDreamer Thebeliever

    Ushauri: Serikali ijenge Mall eneo lililobaki baada ya ujenzi wa Stendi ya Kijichi

    Habari wadau! Jana nilipata nafasi ya kwenda wilaya ya Temeke kupiga misele baada ya jamaa yangu kuniomba nimtembelee nikapafahamu anapoishi kule Mtoni Kijichi Temeke. Binafsi kutokana na taaluma yangu ya uhandisi ni mpenzi sana wa ubunifu wa kihandisi ,hivyo jamaa yangu aliniomba anitembeze...
  15. L

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  16. comte

    Ujumbe wa wazi kwa wakurugenzi wa miji, manispaa na majiji yetu

  17. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu awatumbua Mkurugenzi wa Temeke (Mwakabibi) na Mkurugenzi wa Sumbawanga (Msemakweli)

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili. Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu katumbuliwa kwa ubadhirifu wake na usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo pia alikuwa hana maelewano na...
  18. C

    Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma

    Mh. Juma Raibu Juma, Uliahidi kushirikiana na Madiwani wote pamoja na Watendaji wa Halmashauri katika kufanya kazi kwa bidii , weledi na kuzingatia maadili ili kuharakisha Maendeleo ya Manispaa ya Moshi na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025. Mimi nikiwa...
  19. F

    Meya Manispaa ya Moshi adai kuhongwa Shilingi milioni 5

    Menya wa Manispaa ya moshi Juma Raibu, ameibu madai mazito dhidi ya Kampuni ya Kilimanjaro Bus akidai kampuni hiyo ilijaribu kumhonga kiasi cha shilinig Milioni tano ili aisitishe mpango wake wak utaka kuvunjwa kwa sehemu ya uzio uliowekwa kweney hotel ya Kampuni hiyo iliyop katikati ya mji wa...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    CAG Kicheree: Nimegundua ufisadi wa kutisha Manispaa ya Kinondoni

    Kinondoni ilikusanya ushuru Bilioni 5.9 hawakupeleka benki zikaliwa na wajanja wachache. Wizi wa fedha za Malipo ya Vibarua yasiyostahili Sh. 284,850,00 Halmashauri ya Manispaa ilifanya malipo ya Sh. 284,850,000 kwa ajili ya kuwalipa vibarua wa usafi wa barabara na kuzoa taka. Hata hivyo...
Back
Top Bottom