Kuna kipindi nilipitia wakati mgumu, wa kuuguza watu wangu wa karibu wawili kwa wakati mmoja, na ikapelekea hali ya kuyumba kiuchumi. Kwa sababu pia matibabu yao yalikuwa yako juu.
Nilikomba mpaka senti ya mwisho; hakuna rafiki, kikundi, wala ndugu aliyejigusa. Wengi walikaa mbali na mimi...