manufaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Matumizi ya Internet ni haki yako; tumia kwa manufaa ya wengi

    Baraza la Haki Za Binadamu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016 lilitambua Intaneti (Internet) kuwa ni Haki ya kila mtu. UN inatambua, kila mtu ana Haki ya kupata na kutumia Intaneti bila ya kujali kipato chake, eneo alilopo na hali yake ya mwili (ulemavu au la). Hata hivyo Jamii Forums...
  2. May Day

    Huu wimbo wa "katiba mpya" ni manufaa ya Wanasiasa na Wanaharakati zaidi kuliko Wananchi

    Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii. Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
  3. robinson crusoe

    Ukimuacha Nyerere, makosa ya Marais wetu ni ya makusudi kwa manufaa ya familia zao

    Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku. Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa...
  4. L

    Usimamizi na matumizi bora ya mitandao ya kijamii vitaleta manufaa zaidi kwa jamii

    Wakati dunia inaadhimisha siku ya mitandao ya kijamii, kumekuwa na maswali mengi kuhusu matumizi na matokeo yake kwa jamii. Kuna wanaoona mitandao ya kijamii imekuwa na manufaa sekta nyingi kama habari, biashara, sanaa na fedha, kuna wengine wanaona kuwa imeleta janga na changamoto nyingi, hasa...
  5. GENTAMYCINE

    Tunapoambiwa kuwa Tanzania inakuwa 'Rebranded' ni vyema pia tukaambiwa nani 'aliichafua', lini na kwa manufaa gani

    Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji. Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa...
  6. CCM Music

    Rais Samia, tujifunze kwenye gesi. Je, manufaa ya gesi yapo wapi kwa Wananchi wa kawaida?

    Wazee. Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida. Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi? Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
  7. kavulata

    Kwa manufaa ya Taifa, Serikali izihamishie pengine zile taasisi za kidini Kurasini kupisha Bandari

    Pale ilipo TEC na Pentecost pale kurasini zinatatiza sana kazi za bandari ya Dar es salaam. Kuna ubaya gani serikali ikafanya mazungumzo kama ikivyofanya na wakazi wengine kuzihamisha zile taasisi pale zilipo kwa manufaa ya bandari? Malori ya mzigo yanakosa maegesho kwakuwa hakuna nafasi ya...
  8. M

    Tanzania kwanza: Ndoto tunayotamani kwa manufaa ya nchi yetu

    Tanzania kwanza kwa neno hilo tu! Tunapata picha ya kizalendo na kitaifa inayo ibua hisia na kuleta maswali ya kwanini na lini kuhusu mstakabari makin na misingi imara ya kisiasa, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni kwa Tanzania. Ifikie mahali tukubali kuwa tumeshindwa kuipambania tanzania kwa...
  9. Kansigo

    Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano. Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa...
  10. J

    Manufaa ya Ushirikiano wa Tanzania na Kenya

    Tanzania na Kenya zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango Zaidi ya kuwekeza na kuinua uchumi baina ya nchi zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia Ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Kenya ikiwa...
  11. Kiparuanda

    Maktaba ya TBC ipo kwa ajili ya manufaa ya nani?

    Ukisikiliza au kutazama TBC wanakuambia wao ni moja ya mashirika Afrika yenye maktaba kubwa na kongwe zaidi na inawezekana ni kweli kwani ukibahatika kuwakuta wakiwa na mood nzuri huwa wanaonesha video za kale kuanzia harakati za viongozi kabla hata ya uhuru, makala nyingi sana zinazohusu siasa...
  12. Elius W Ndabila

    Miradi kwa manufaa ya taifa

    LIJUE BOMBA LA MAFUTA LA TANZANIA UGANDA. NA ELIUS NDABILA 0768239284 Hivi karibuni Rais wa Tanzania Mhe Mama Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Mseveni waliongoza utiaji wa saini ya kuanza kwa Ujenzi wa bomba la Mafuta la Tanzania mpaka Uganda. Historia ya Ujenzi huu ni matokeo ya...
  13. beth

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango: Changamoto hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa wananchi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi. Amesema, "Serikali zetu zimekuwa zikibainisha changamoto hizo na kufanya jitihada za dhati kwa pamoja kuzipatia ufumbuzi kwa wakati na...
  14. J

    Spika Ndugai: PhD zina manufaa kwenye kufundisha na kutafiti lakini siyo bungeni, Dkt. Ndugulile aliwahi kumuita Waziri Profesa Ziro

    Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni. Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa...
  15. Return Of Undertaker

    Stiegler's Gorge una manufaa machache kitaifa kuliko faida, CCM walitakiwa kujibu hivi vyanzo vya umeme kwanza huu mradi una ufisadi

    Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous. Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
Back
Top Bottom