Wakati dunia inaadhimisha siku ya mitandao ya kijamii, kumekuwa na maswali mengi kuhusu matumizi na matokeo yake kwa jamii. Kuna wanaoona mitandao ya kijamii imekuwa na manufaa sekta nyingi kama habari, biashara, sanaa na fedha, kuna wengine wanaona kuwa imeleta janga na changamoto nyingi, hasa...