Kama unafikiri kufanya kazi kwa bidii tu kunatosha.. utashangaa unafeli kila siku kwenye maofisi ogopa sana watu, hata uwe mchapakazi vipi, waelewe watu kwanza ili uweze kufaulu.
Hizi ni baadhi ya aina za watu.
1. Machawa
Hawa kazi Yao kujipendekeza na kuwachafua wengine ishi nao Kwa...
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
Habari wadau.
Nazani wengi tumeona trending za msanii wa kike Ruby.
Binafsi najua ruby amekosea ila kuna kitu nimekigundua na kumuelewa ruby.
Historia ya maisha ya ruby tu imempa hasira hasira.
Mtoto alielelewa kwa upendo wa baba na mama ana tofauti na mtoto alielelewa kwenye familia isiyo...
Habari za mida wakuu,
Pasina kupoteza muda, hii ni changamoto kubwa wadada wengi wasiojielewa wakishavuliwa nguo na maboss wao huwa wanajisahau sana inafikia hatua wanajihisi ni maboss wasaidizi dharau inapitiliza ofisini.
Utamu unazidi pale anapokuja mdada mpya akapitiwa na yeye na boss...
Updates:
Video imeambatanishwa
.
.
.
Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao.
Mfano;
1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi.
2. Ps anakataa usionane na boss...
Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk.
Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
Mnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka.
Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza...
NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee.
Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa..
Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
Hili jambo la Maofisini kuwa tabia za ajabu ajabu zinanikera sana, kuna ofisi yaani kufanya kazi inakuwa ni ngumu na changamoto kwa sababu ya chuki na fitina za hapa na pale.
Na kitu kibaya utashangaa hata boss anaekuzidi mshahara na cheo anakujengea chuki kubwa dhidi yako.
Huku Maofisini...
Vikao vya mara Kwa mara ofisini vinaboa na mara nyingi hivyo vikao ni useless na vinapenda kuzungumzia kazi zinazotakiwa kufanyika badala ya kufanya hizo kazi.
Tunapoteza muda mwingi kufanya vikao unategemea kazi zangu nitafanya saa ngapi?
Najua managers wameajiriwa ili kuongeaongea lakini...
Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na.11 ya Mwaka 2007; Rushwa ya Ngono ni kitendo anachofanya Mtu mwenye Mamlaka, katika kutekeleza Mamlaka yake kudai Ngono au upendeleo wa aina yoyote kutoka kwa Mtu kama kishawishi cha kumpatia Ajira, Cheo, Haki, Fursa au...
Kwa nilichokuja kugundua ni kwamba kodi nyingi sasa zinatokea kwenye miamala ya simu tunayotuma na kupokea.
Kwa njia hiyo inamaanisha kwamba zikijikata tu zinaingia, moja kwa moja kwenye akaunti ya kodi hivyo automatically zinajihesabu zenyewe. 😅😅😅😅😅😅😅 Sasa kama mambo mazuri ndio hayo nilikua...
Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi.
Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD.
Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc.
Huyu...
Habarini wakuu,
Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi.
Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.