DIRISHA KUWA WAZI HADI SEPT 18 KWA WANAOKAMILISHA MAOMBI
Tunawajulisha waombaji na umma kwa ujumla kwamba, baada ya kuongeza siku 14 za kukamilisha maombi ya mikopo, zimejitokeza changamoto zinazowaathiri baadhi ya waombaji na hivyo kushindwa kukamilisha maombi yao kwa wakati.
Kwa kuzingatia...