Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
DIRISHA KUWA WAZI HADI SEPT 18 KWA WANAOKAMILISHA MAOMBI
Kwa kuzingatia hali hiyo, dirisha la maombi halitafungwa leo (Septemba 14, 2026), ili waombaji waliokutana na changamoto waweze kukamilisha maombi yao kufikia Septemba 18, 2026.
Taarifa hii inawahusu waombaji wa mikopo ambao wako katika hatua mbalimbali za maombi na siyo wanaoanza kuomba.
Pia soma ~ Msaada: Tuliotoka Diploma kwenda Degree tukiomba mkopo tunakutana na "No Applications Found" kwenye mfumo