maonesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    SoC01 Bado tunafanya maonesho katika kuwajengea vijana ujuzi wa TEHAMA

    BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia ilitamalaki katika midomo ya watu wengi sana ulimwenguni na sisi kama nchi watawala walihubiri sana juu ya...
  2. K

    TanTrade ongezeni ubunifu maonesho ya sabasaba

    Wakuu habari za muda huu, Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”. Kiukweli TanTrade mmetuangusha sana maonesho ya sabasaba hayabadiliki kabisa kilichofanyika miaka kumi...
  3. erickliloow

    Maonesho ya saba saba tufanyie humu, weka bidhaa yako tuione

    Habari wakuu, Maonesho ya Saba saba tuyafanyie humu jukwaani, weka bidhaa yako pamoja na bei watu tuione. Kwa kufanya hivyo utajiongezea wigo wa biashara kwa kupata wateja wengi zaidi. Weka bidhaa pamoja na bei wateja wanunue. Karibuni wakuu.
  4. EvilSpirit

    Hivi kwanini maonesho ya Nanenane yamefutwa?

    Kama kuna ambaye anajua sababu ya kufutwa kwa maonyesho ya nane nae tujuze. Maonesho haya yalikuwa ni fursa za kibiashara na sio fursa tu bali hata kuwa sehemu ya burudani kwa siku zile za maonyesho watu wakitoka na familia zao kubadilisha mazingira. Ninatamani sana yangerudishwa.
  5. PendoLyimo

    Waziri wa Mawasiliano, Dkt. Faustine Ndugulile atembelea Maonesho ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini...
  6. steve_shemej

    Ota Benga: Kijana aliyewahi kuwekwa kwaajili ya maonesho nchini Marekani

    Ota Benga alitekwa nyara kule ambako sasa hivi kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani lengo likiwa nikumfanya kuwa onyesho. Mwanahabari Pamela Newkirk, ambaye ameandika mengi kuhusu suala hilo, anaangalia matukio kadhaa ya kuficha ukweli wa kile...
Back
Top Bottom