Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
ππΎ Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
ππΎ Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa...
Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW.
Kazi kwenu...
Habarini nyote,
Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu.
Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic.
Hadi wabunge makini...
"Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu.
Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia.
Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza hili kwa sababu aliona halina kitu chochote cha maana kinalofanya isipokuwa tu kugeuka na kuwa...
Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO.
Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na vifaa mbalimbali vya thamani hali hiyo ilipelekea makundi mbalimbali ya watu kupanga foleni kwa...
Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli,
Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe
Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD
Ajabu ukiitwa...
Mkurugenzi mtendaji wa MOI, Prof. Abel Makubi leo amefanya kikao na watoa huduma kwa wateja pamoja na walinzi ili kukumbushana misingi bora ya utoaji huduma kwa wateja na kupunguza mahangaiko na malalamiko kwa wateja.
Kikao hiki ni mwendelezo wa vikao baina ya Prof. Makubi na Makundi mbalimbali...
Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu"
Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hiiππππππππ
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
Hello JamiiForums,
Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza craft yangu kiujumla na ningependa muweze kuipitia na kunipea genuine feedback, your support and...
SAUTI ZA WANANCHI: KWA NINI SERIKALI INAHITAJI KUSIKILIZA MAONI YAO
Imeandikwa na: MwlRCT
1: UTANGULIZI
Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, sauti za wananchi hazipewi kipaumbele na serikali. Sauti za wananchi ni maoni, mapendekezo na malalamiko ya watu wanaoathiriwa na sera na mipango ya...
Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao.
Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto.
Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye...
Ili kuboresha huduma zitolewazo katika taasisi, maoni ya wapokea huduma na wananchi kwa ujumla ni ya muhimu sana kwa kuwa kupitia maoni hayo taasisi hutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika mchakato wa utoaji huduma. Ili kulitimiza hilo, taasisi zimekuwa zikitumia njia mbalimbali...
Habari wakuu!
Hichi kinachoendelea ni moja ya Maendeleo makubwa ambayo Kwa awamu ya tano isingewezekana, serikali ipongezwe Kwa kurejesha Maendeleo haya ya Watu kuwa Huru.
Kimsingi nchi inaamani, inautulivu, Watu wanaparangana na kutoa Maoni Yao Kwa Amani bila ya hofu. Unajua kuna Watu wanaweza...
KUWA NA SIKIO LA KUFA: KUWA TAYARI KUSIKILIZA MAONI NA MALALAMIKO YA WENGINE
Mwandishi: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika ulimwengu wa leo, jamii zetu zinakabiliwa na changamoto nyingi. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu, mabadiliko ya hali ya hewa, na migogoro ya kisiasa, ni muhimu zaidi kuliko...
Habari za uzima ndugu zangu,
Naomba kuuliza kuna kozi za afya ambazo ukiwa na degreee sio rahisi sana kupata kazi tofauti na mtu mwenye diploma???
Au ni rahisi kupata kazi ukiwa na degree tofauti na mwenye diploma???