David Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao.
Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii.
Amesisitiza umuhimu wa...
Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote?
Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali?
Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena?
Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
Poleni na majukumu ndugu zangu wana jamvi.
(a)Kwanini kusiwe na namba ya huduma ya TCRA?
[emoji117] Yaani mteja wa mtandao husika anaponunua kifurushi kikaisha kabla ya muda wake apige simu TCRA ili wahoji au kuchunguza uhalali wa matumizi. Hapa ikibainika mtandao umefanya wizi umrudishie mteja...
Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema.
Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop
Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.