Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana!
Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui!
Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale,
kwanza usumbufu...
Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
Huyu mzee ametoka kuzika ndugu zake wawili wa damu ndani ya mda mfupi.
Anapitia nyakati ngumu mno pengne kuliko mpinzani yeyote ndani ya nchi hii.
Anakabiliwa na kesi lukuki, uchumi wake binafsi umeporomoka, usalama wake u shakani.nk
Ana miaka 60.
endapo mwelekeo utakuwa ni huu sijui tu.
Kwa...
TOYOTA WISH AU IPSUM?- Kama alivyouliza mdau kwenye group
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
Ipsum za zamani zimeadimika, hivyo ntaongelea ile mpya kuanzia miaka ya 2001.
Toyota Ipsum inakuja na injini kubwa iitwayo 2AZ (Cc2400) yenye Vvti ambayo pia inapatikana kwenye Harrier Old na...
Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la...
Habarini za leo Jumamosi poleni na mihangaiko ya wiki nzima matumaini yangu kuwa wote mpo wazima kabisa wa buheri .
Twende kwenye mada yetu husika na pendwa kama ilivyotajwa hapo juu rejea kichwa cha habari. Kumekuwa na nadharia mbalimbali kuhusu swala la Kuoa kumekuwa na Mitazamo chanya kwa...
Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia.
Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali.
Watu hawa sijui ndo kama wanaakisi maoni ya Watanzania kwa ujumla; yaani Watanzania wengi kuikataa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki
Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu.
Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake.
Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi.
La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content).
Mchungaji Gwajima anadai ni...
Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine.
Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au kuwekwa kifungoni huitwa mfungwa. Kifungo hufanya watu kufuata sheria na hupunguza kwa kiasi fulani...
Mzee Warioba ameshauri kupunguza muda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.
Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.
Kwa kifupi mikutano ya Kiserikali imekuwa kama ya kampeni
Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30.
Baada ya kuchoma...
Habari za mchana wapendwa katika bwana.
Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM.
Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
Mimi Binafsi nadhani huyu Hawa Mniga alikuwa mgombea wa Urais wa (TFF) avhunguzwe, Kwa nini achunguzwe.
Unaweza kusema huyu dada ndiye aliyezuia baadhi ya wagombea, kufanya wakose sifa ya kugombea kwa mujibu wa kanuni zilizotungwa na (TFF).
Rais Karia na huyu dada ndio waliopata udhamini...
Habari Wakuu,
Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya.
Siku hiyo ikifika kila...
Niwasalimu kwa jina la JMT.
Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake.
Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo.
Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.