maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Maneno ya Rais Samia ni Maoni si Msahafu, Msingi ni Katiba

    Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba. Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo. Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua anachokitaka na anajua kukiwasilisha vyema. Mama anakijua kiswahili sawasawa. Mama anacheza na lugha...
  2. Mwande na Mndewa

    Ushauri na maoni yangu kuhusu Bandari ya Bagamoyo

    USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO. Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo, Alisema haoni mantiki ya...
  3. balimar

    Toa Maoni yako kwenye Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari

    Hello Tupo na Mkutano hapa Dodoma Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu Awali, Msingi na Sekondari Wapenda kujenga nchi mnaombwa kutuma maoni yenu kwa namba hii 0735041169 Unaweza kutuma maoni yako Hapa mkutano unaendelea, pia unaweza kufuatili kwenye mitandao ya kijamii na TBC One Asante
  4. P

    Katibu Mkuu CHADEMA asante kwa kuwatambua nakukaribisha maoni kwa Wananchi

    Hapa nina mawazo/maoni juu ya fedha iliyochangwa na wapenda haki na demokrasia ya kweli ili ninyi muwe huru kupigania demokrasia. PESA HIYO IWE KWENYE MOJA YA; 1. Kujenga ofisi ya kisasa makao Makuu(CHADEMA HQ) 2. Uwepo mpango wa kujenga Chuo kukuza taaluma ya demokrasia ya chama ikiwa...
  5. P

    Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

    Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
  6. S

    Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

    Wakuu, nafikiria kuanza kufanya biashara ya kununua mayai kwa wafugaji na kuuza ama kwa kusambaza ama kufungua kakibanda, ila sina uzoefu mkubwa na hiyo biashara. Sasa naombeni mnipe ABC's zake kama, changamoto, vitu vya kuzingatia, kiasi cha chini kabisa cha mtaji, nk. Location itakuwa dar...
  7. Leak

    Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    MBUNGE AACHIE JIMBO! Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohijiwa na gazeti...
  8. Roving Journalist

    Waziri Ndalichako: Tugange yajayo, Serikali ipo tayari kufanyia Mabadiliko Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka Wadau wa Elimu Wasiwe Waoga kutoa maoni Juu ya Sheria na Kanuni zinazounda Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania. Ameyasema hayo leo tarehe 19 Jun 2021 Mkoani Dar Es Salaam wakati akipokea Maoni ya Wadau wa Elimu...
  9. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  10. M

    Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  11. Zacht

    Una maoni gani kuhusu wanawake wa aina hii?

    Habari za jumapili. Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu. "kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi hata kuchangia msumari Kwenye ujenzi na siwezi hili swala niliji funzaga tokea nipo binti niliona vile...
  12. K

    Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

    Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka. Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni...
  13. S

    Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

    Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?? UPDATES: Kupitia comments zenu nimegundua kuwa watu wanachanganya vituko vya mvuta bangi na uchekeshaji.
  14. Mwande na Mndewa

    Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  15. A

    Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

    Nchi hii tunaenda wapi? Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
  16. Chibudee

    Ubunifu Tizama Weka Maoni Yako

    Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo
  17. Chendembe

    Maoni: Serikali haikuwa sahihi kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake. Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
  18. Erythrocyte

    Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  19. happyxxx

    Hongera Mama Samia kwa kusikiliza maoni yetu

    Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni. Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni. Mama umenikosha sana.
  20. Extrovert

    Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

    Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end! 1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi! 2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass! 3. Aanze kuuza uji...
Back
Top Bottom