maonyesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni wapi naweza kuhudhuria maonyesho ya projects za computers, apps, softwares, n.k. lengo ni kuwekeza, nipeni pia elimu na tahadhari kabla sijawekeza

    Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k. Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
  2. chiembe

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  3. Yoyo Zhou

    Wauzaji wa bidhaa wa Rwanda kutafuta fursa kwenye maonyesho ya CIIE mjini Shanghai

    Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai. Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
  4. Pfizer

    Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera

    Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
  5. Funa the Wild

    Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  6. L

    Rais Wa Msumbiji kufanya Ziara ya kikazi nchini na kufungua Maonesho ya Sabasaba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July. Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa pia kuwa mgeni Rasmi na kufungua maonesho ya sabasaba. Lakini pia Rais huyo wa Msumbiji atashiriki...
  7. and 300

    Kwanini bango la sabasaba halijawekwa picha ya mtu mweusi?

    Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa...
  8. nyamadoke75

    A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  9. Nyani Ngabu

    Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  10. L

    Maonesho ya Uagizaji na Mauzo ya Nje ya China ni mfano wa kunufaishana kati ya China na dunia

    Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
  11. Mohamed Said

    Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare II Jumba la Kumbukumbu ya Taifa

    MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa inayowaonyesha wanawake mashuhuri katika historia ya Tanzania. Nimesimama hapa kwa muda naziangalia...
  12. Faana

    Huyu akawe wa maonyesho ughaibuni atuingizie fedha za kigeni

  13. masai dada

    Maonyesho ya kibiashara china na Turkey

    Kwa wadau wnaaotaka kusafiri china na turkey Kuna maonyesho mbali mbali Katika kipindi mbalimbali katika mwaka kama ilivyo kwetu Kuna 7/7. Nina dondoo kidogo...naomba tukutane hapa kupeana huu mchongo kwani nimekuja kugundua yaani Kwa sisi ambao hatukuwa kusafiri china au uturuki....kuenda...
  14. MamaSamia2025

    Wasafi Festival ni maonyesho ya muziki au Bongo movie?

    Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu. Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii...
  15. M

    Maonyesho ya silaha za NATO zilizotekwa na Urusi yafana mjini Moscow

    Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya silaha za urusi. Alisema hata silaha za kizamani enzi za kisoviet bado zina makali kuliko silaha za...
  16. L

    Maonyesho ya Biashara ya China na Afrika yaimarisha uhusiano wa kibiashara na kujenga siku njema za baadaye

    Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China. Maonesho hayo yalianza mjini...
  17. MK254

    Anga ya Urusi sio salama, wasitisha maonyesho ya ubabe wa ndege zao

    Kila mwaka Urusi hufanya maonyesho ya ubabe wa ndege zao, ila mwaka huu imebidi waghairi maana anga yao sio salama, drones za Ukraine zimekua zinatamba hadi ikulu, hivyo hamna namna... Yet another blow has been dealt against Vladimir Putin's authority as the risk of drone strikes pummelling...
  18. L

    Wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious UDSM Tanzania watembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua

    Tarehe 22, Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) wametembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua. Kijiji cha Siping kilichoko katika mlima Jiufeng mjini Jinhua, kilijengwa mwanzoni mwa enzi...
  19. L

    Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yafanyika mkoani Guangdong, nchini China

    Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yamefanyika mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Maonyesho hayo yamekusanya zaidi ya vito 30 vya fuwele kutoka maeneo maarufu ya uzalishaji wa madini hayo duniani kote.
  20. E

    Maonyesho ya Lndcruiser V8 Dodoma!

    Ikiwa unataka kujionea kwa wingi Landcruiser V8 tembelea jijini Dodoma, kila baada ya dakika 2 Lazima upishane na chuma jipya V8 LC300 NB: Kama biashara Toyota wameuza hapa Dom aisee
Back
Top Bottom