Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali?
Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita.
Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
Tarehe 18 Septemba, watu wanatembelea maonyesho ya sayansi ya alama za vidole katika Jumba la makumbusho la sanaa la Ziwa Taihu Magharibi, mjini Changzhou, Jiangsu.
Maonyesho hayo yameweka sampuli ya fuvu, nyaraka na vitabu, na kutumia aina mbalimbali za picha, vifaa, sanamu kuonyesha...
“TEKINOLOJIA HUWA HAIOMBWI HUIBWA, HUCHUKULIWA KWA HILA”
Mwanamuziki Mbarak Mwinshehe aliacha kumbukumbu ya wimbo wake; “kwanza tunatoa shukrani kwa serikali yetu ya Tanzania. Kwa kutupatia nafasi ya kwenda Osaka Japan, kwenye maonyesho ya Ulimwengu ya mambo yote ya viwanda na biashara. Mwaka...
Maonyesho haya maalum kwa ajili ya wakulima na wafugaji ambayo hufanyika kila mwaka yanaendelea kupoteza mvuto wake tofauti na ile miaka ya uanzishwaji wake Yan 95,96 na kuendelea. Lakini kuanzia miaka hii ya 2000 katikati hali ni tofauti na miaka ya nyuma.
Wamachinga kwenye maonyesho...
Habari humu.
Kichwa cha habari chahusika.Sioni shamrashamra za hii sikukuu pia hata matangazo sisikii.Je inawezekana na mwaka huu maonesho yakapotezewa na ukizingatia kuna kazi ya sensa na makazi.
Ni maonesho muhimu sana kwa wakulima na wafugaji na huwa yanatoa fursa kubwa za kibiashara kwa...
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo...
MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022 kuanzia Majira ya Saa 4 asubuhi hii atatembelea maonyesho ya Kibiashara ya Sabasaba Jijini Dar es...
Waziri Mkuu mstaafu Mheshimiwa Mizengo Pinda akizindua maonyesho ya michoro ya Msanii wa India Bw Narendar Reddy katika Ukumbi wa Ubalozi wa India .
Katika uzinduzi huo uliofanyika Jana pia jumla ya picha 20 zilizochorwa na wasanii wa Tanzania chini ya uongozi wa Narendar Reddy zilionyeshwa...
Tarehe 9 Juni 2022, mradi wa nguo za mitindo "Juxtaposed 2022 FASHION META" ulioandaliwa na shirikisho la wabunifu wa nguo za mtindo wa Hong Kong ulifanyika na kusherehekea kumbukumbu ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa eneo maalumu la Hong Kong.
Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali.
Sasa huyo...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Alhamisi Machi 24, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa maonyesho makubwa ya Viwanda vinavyozalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali.
Ufunguzi wa maonyesho hayo yaliyoandaliwa na Kampuni ya Expo...
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, maonesho ya taa kusherehekea michezo hiyo katika mitaa ya biashara mjini Beijing yanaonekana vizuri kutoka umbali wa kilomita 10.
Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'. Kesho Jumamosi ndo siku yetu Tanzania na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza tukio.
Na Tom Wanjala
Maonyesho ya nne ya bidhaa zinazouzwa nje ya mkoa wa Shandong nchini China, yaliyofanyika jijini Nairobi wiki iliyopita, yalifana kutokana na idadi kubwa ya watu waliohudhuria. Maonyesho hayo yaliyofanyika kati ya tarehe 16 na 19 mwezi huu, na ambayo lengo lake kuu lilikuwa...
hello members,
kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china
wataendesha maonyesho ya kibiashara kuanzia tarehe 15-17 december nchini
zaid ya masupplier 400 kutoka china watashiriki...
Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE).
Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za dunia kupata soko nchini China na pia wafanyabiashara kukutana na kubadilishana.
Kama mwaka uliopita...
Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.