Hivi sasa huko Marekani kuna mijadala inaibuka kwa kasi sana kwamba:
Kwenye mifumo ya shule zao kuwepo na mafundisho kuhusu 'Slavery' ama kwa kifupi kuhusu Civil Rights Movements na hata kuhusu Dr. Martin Luther King Jr.
Sasa moja ya hofu kuu kwenye hili ni kwamba:
Wazungu na hasa watoto wa...
Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala kukemea.
Mfano ni huko Handeni tumeshuhudia akina mama wakilalama hadharani kupigwa na kutomaswa kwa...
Dunia hii ina watu wanaoongoza mambo yote makubwa, kama vile uchumi, elimu, majeshi, sayansi, nk.
Kwa bahati mbaya sana, watu hawa wana malengo maovu mno, licha ya kuwa wao ni kikundi kidogo sana. Lakini baya zaidi asilimia zaidi ya 90 ya wanadamu hawana habari na kile kinachoendelea. Wakubwa...
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri nchini Bw Absolom Kibanda ametoa matamshi makali dhidi ya Samwel Sitta kwa kumwambia kuwa yeye (Sitta) si mpambanaji kama anavyojifanya lakini kali ya yote amemwambia kwasasa hana muda wa kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.