Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.
Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima.
They are so proud ( wajivuni kupita kiasi)
They have got the most biggest egos in the...
Katika harakati binafsi za kuunga mkono na kupongeza, juzi nilipata changamoto.
Mtoto wangu wa kiume aliniletea wajukuu zangu mapacha wa kike na kiume. Kwa heshima na kumhusudu doktari Samia Suluhu Hassan, nimewaita Sami na Samia.
Je, nimechemsha au nimepatia. Kumbuka. Mimi si chawa wala...
Ni mtangazaji wa Redio huko Kesho na umri wa miaka 26 na madenti wenyewe wana 20.
Madenti wanasema hawajawi kutenganishwa tangu utoto, shuleni hadi ukubwani.
Mabaharia wa JF naona tayari mmeshaanza fantasies zenu za threesome hahahah.
Jamaa anasema:
“Niliona wanafanana kwa kila kitu...
Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike!
Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji ambayo itawezesha hili, au mapacha ni jambo la kiasili na kimaumbile kama watu wanavyodhania?
Twime TUBITE
"Hakuna mfano nyuma ya mfano,nyuma ya mfano Kuna Imani"
MAPACHA 3 wa Siri wanavyoifanya Dunia watakavyo, MAPACHA wenyewe kwa nje wanaonekana kama maadui na jamii kubwa inaelewa hivyo Lakini kwa Siri sana wanashirikiana kugawana makundi ya watu.
DINI,(religion) SERIKALI...
Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao vya muziki na dansi tangu utoto wao. Wakiwa na ndoto kubwa kuliko anga, Peter na Paul walichochewa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Mapacha wanne Leo wanasherehekea kutimiza miaka 83 ya kuzaliwa kwao
Ujumbe wao:
we are quadruplets, today we turned 83, we are waiting for congratulations from you 🥹🎂
Natumaini ni wazima ndugu zangu
Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu
Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako.
Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa.
Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano ana pacha wake(TWIN) au nikimtongoza mdada ambaye ni pacha anakuwa mwepesi kunikubalia sasa huwa...
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021
Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo...
Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia
Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani...
Habari.
Naomba niende moja kwa moja kwenye hii issue.
Kuna taarifa ambayo kwa sasa inatambaa sana hapa jf na hata kwenye mitandao ya kijamii kama x,na you tube.
Issue inahusu swala la mapacha wawili waliokuwa wanafunzi wa ardhi kusema kuwa kuna Mtihani mmoja wa supplementary walishawahi...
Kwa haraka haraka kifuatacho ni majanga kama ya ujane na watoto.
Nashauri baharia wote tukae mkao wa kula tugawane hizo toto's.
Hio inaitwa wamrambee, wamnyonyoee, hawavumi ila wako Ardhi.
Ndio hivyo tu
Wadiz
Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika!
Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uwekezaji uliofanyika hospitalini hapa ambao umewezesha huduma mbalimbali za kibingwa na ubingwa bobezi kufanyika ikiwemo upasuaji mkubwa wa kutenganisha...
Kamuanzishia biashara ya M-Pesa mke wake hapo kijiweni, baada ya kuona inalipa akaenda kukopa million 2.5 kuongezea mtaji.
Picha linaanza mara baada ya kukopa tu, siku ya kwanza kaenda kutoa 100k ili aandae mazingira, arudi nyumbani anapatwa na dalili za malaria.
Akaenda kununua paracetamol...
Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara nyingine imeandika historia kwa kufanya upasuaji mkubwa wa kuwatengenisha watoto mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na kifua na kuwa upasuaji wa kwanza kufanywa na madaktari wazawa hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa...
Hii ya Leo aisee tufanye imevunja rekodi na haijawahi kutokea popote yaani tumevamiwa na shughuli mbili.
Ya kwanza ni ndoa ya kiislam tena ni mapacha wanaolewa siku moja na wanaume wawili tofauti, ni ndoa ya kiislam hapa nipo live Navizia nidoee doee tea na mandazi na baadae ubweche.
Cha...
Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua wababe wa Kariakoo pale wasipostuka kuna mmojawao atachomoka top 2 pale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.