Safina Namukwaya, mwanamke mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Wilaya ya Masaka, amewashangaza watu wengi baada ya kujifungua watoto mapacha katika hospitali moja huko nchini Uganda.
Bi Safina amejifungua mvulana na msichana mmoja akiwa na uzito wa kilo 1.7 kila mmoja katika Kituo cha Kimataifa...
Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
Ulaji wa viazi vitamu kwa kipindi kirefu unadaiwa kusaidia uzalishwaji wa mayai mengi kwa Mwanamke na hivyo kupelekea kupata watoto mapacha.
Jiji la Igbo-Ora lililopo nchini Nigeria ni jiji lenye mapacha wengi na Nigeria imepewa jina la mji mkuu wa Mapacha Duniani kwa kuwa na watoto mapacha...
January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania
Na Mwandishi Maalumu
January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu sana, kiasi ambacho unaweza kuwaita ni mapacha watatu.
Mapacha hawa watatu wamekuwa pamoja kwenye...
Wanafunzi wawili Mapacha wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Mipango Kampasi ya Mwanza wamefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati wakiogelea katika eneo la fukwe za Mihama Kata ya Kitangiri wilayani Ilemela mkoani Mwanza.
=============
Kenny na Lenny Makomonde (24), mapacha na...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha
Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.
Natoa...
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.
Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.
Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi...
Mapacha walioungana, Lupita na Carmen Andrade waliozaliwa nchini Mexico na kukulia Connecticut nchini Marekani, wamezua gumzo kubwa baada ya mmoja kati yao kueleza kwamba yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku mwingine akiwa ‘single’.
Kilichowashangaza wengi, ni kutokana na ukweli kwamba wawili...
Hello family,
Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita sasa, wakati huu hana mimba imekuwaje nimeota hio ndoto ya namna hii?
Saidieni tafadhari tujenge...
Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani.
Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
SIMULIZI; I LOVE MY TWINS (NAWAPENDA MAPACHA WANGU)
MWANZO.
Dunia nzima ilisimama kushuhudia tukio la ugawaji wa tuzo kubwa za muziki zilizotolewa na kampuni kubwa ya utangazaji ya MTV yenye makao yake nchini marekani.
Hakuna aliyeweza kusubiri wala aliyekubali kupitwa na tuzo hizo hasa raia...
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua
Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not...
Maria alifanya utaratibu wa kupandikiza mbegu ili apate watoto (IVF) akiwa na umri wa miaka 67. Aliingia kwenye kitabu cha Guineas Book of Records kwa kuwa mama aliyepata watoto akiwa na umri mkubwa zaidi.
Maria alipunguza umri wake kwa miaka 12 wakati akipata matibabu yake. Madaktari...
Binadamu anapaswa kuwa msafi, hii ni moja ya tofauti kati yetu na wanyama ingawa wote ni jamii ya mamalia. Sisi tunaoishi kwenye chumba kimoja ambacho ukifungua macho asubuhi unaangalia vyote unavyomiliki, inapaswa kujiongeza sana. Bila kujiongeza unakaribisha panya na mende ndani.
Unakuta...
Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao.
Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika.
Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu.
Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
MTATIRO AAGIZA MWALIMU ALIYEZAA PACHA WANNE KUHAMISHIWA MJINI
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuanza mchakato wa kumhamishia kwenye shule iliyoko Tunduru mjini Mwalimu Judith Sichalwe mwenye miaka 29 (mwanamke...
Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na mchumba wao wa pamoja mwenye umri wa miaka 37, Ben Byrnes, ambaye wanasisitiza kulea naye watoto...
Njia kuu mbili zinazokuwezesha kupata mapacha, kwanza ni jinsi ya kupata mapacha bila dawa au tiba yoyote na pili ni jinsi ya kupata mapacha kwa kutumia dawa au tiba maalum.
Tukianza kuangalia njia ya kwanza, katika njia hii zipo sababu mbalimbali, kwanza ni umri; umri mkubwa wa zaidi ya miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.