mapadre na maaskofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni wazi kuna baadhi ya Mapadre na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamefurahia sana kifo cha Kadinali Polycarp Pengo

    Na kwa unafiki wa kiwango cha juu sana, kila wakijaribu kuonyesha wana majonzi na huzuni kufuatia kifo cha Kadinali Polycarp Pengo, facial expressions zao zinakataa kushow up, lakini pia body language zinagoma kabisa kudhihirisha masikitiko yao. Kwa hakika wamefurahi sana na huenda wakawa na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna njama za kuwashikisha ngada kwenye viwanja vya ndege, mapadre watakaokuwa wanasafiri kwenda ama kutoka nje ya nchi

    Baada ya sinema za kuwasingizia mapadre kuwa wanajiteka ama wana stress za madeni kuonekana kama zinastukiwa na wananchi, sasa wanakuja na mbinu hiyo mpya iitakayowafinya vizuri mapdre mpk wakome kukosoa. Vita hii ni Kali sana. Wakatoliki msiichukulie poa, mtakwisha!! Kama mbwai ishakuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Zamani maaskofu, mapadre nk walikuwa wanasoma Biblia kwanza kupata mahubiri sasa hivi wanaangalia hali ya siasa nchini kwanza na kutungia mahubiri

    Tofauti ya mahubiri ya zamani na sasa ni moja Zamani maaskofu, mapadre, Wachungaji, mitume na manabii nk ilikuwa wanasoma Biblia kwanza kupata mahubiri sasa hivi wanaangalia hali ya siasa nchini na kutungia mahubiri Ndio maana kuhubiri sasa hivi kumekuwa kwepesi kila mmoja aweza hubiri Sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…