Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Na kwa unafiki wa kiwango cha juu sana, kila wakijaribu kuonyesha wana majonzi na huzuni kufuatia kifo cha Kadinali Polycarp Pengo, facial expressions zao zinakataa kushow up, lakini pia body language zinagoma kabisa kudhihirisha masikitiko yao. Kwa hakika wamefurahi sana na huenda wakawa na sherehe kubwa baada ya maziko ya kiongozi huyo asiyeyumba leo.
Halafu, karibia wote waliofurahia msiba huo, wameishia kufanya drama, kuonyesha dharau zao na utovu wa nidhamu kwa waombolezaji na kujaribu kuonyesha ufahari wa kinafiki msibani kwa kiongozi huyo wa kihistoria wa kanisa katoliki jimbo kuu katoliki la Dar.Es Salaam.
Hayati Kadinali Polycarp Pengo ameaga dunia katika hali ya upweke wa kiwango cha aibu sana huku watesi wake ndani ya kanisa hilo hawakua na habari nae na wasiweze kufanya yapasayo juu yake.
Shukrani za kipekee ziiendee serikali sikivu ya CCM kwa namna ilivyojitolea kinagaubaga tena kwa haraka sana kuficha fedheha na aibu alizokua akizipitia kiongozi huyo mstaafu wa kanisa katoliki Tanzania, hasa alipokua dhaifu sana kiafya.
Pamoja na hayo,
kutokana na misimamo yake isiyoyumba katika imani katoliki,
mapadre na maaskofu wengi ndani ya kanisa katoliki walimuona kadinali Polycarp Pengo kama kikwazo kwatika kutimiza matamanio yao ya kimwili hasa kisiasa na kuliingiza kanisa katoliki katika ujumla wake katika siasa.
Ama kwa hakika, ndani ya kanisa katoliki kwa sasa kwa baadhi ya mapadre na maaskofu kufa ni kufaana.
MUNGU IBARIKI TANZANIA