Ni wazi kuna baadhi ya Mapadre na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamefurahia sana kifo cha Kadinali Polycarp Pengo

Kwa hiyo ulitaka walie? Ulitaka kadinali aishi miaka mingapi na umeingia ndani yao ukajua hisia zao? We ni judge wa hisia za watu? Hizo nyuso umetumia kipimo gani kujua expressions zao na zina ukubwa gani chawa?

Acha kiherehere cha kuingilia yasiyokuhusu, mamaduro bado anataka sifa zaidi endelea kumpamba usipoteze muda na kanisa la kwanza la mitume, limejikita, haliyumbishwi na machawa "utakufa vibaya wewe"
 
Na kwa unafiki wa kiwango cha juu sana, kila wakijaribu kuonyesha wana majonzi na huzuni kufuatia kifo cha Kadinali Polycarp Pengo, facial expressions zao zinakataa kushow up, lakini pia body language zinagoma kabisa kudhihirisha masikitiko yao. Kwa hakika wamefurahi sana na huenda wakawa na sherehe kubwa baada ya maziko ya kiongozi huyo asiyeyumba leo.

Halafu, karibia wote waliofurahia msiba huo, wameishia kufanya drama, kuonyesha dharau zao na utovu wa nidhamu kwa waombolezaji na kujaribu kuonyesha ufahari wa kinafiki msibani kwa kiongozi huyo wa kihistoria wa kanisa katoliki jimbo kuu katoliki la Dar.Es Salaam.

Hayati Kadinali Polycarp Pengo ameaga dunia katika hali ya upweke wa kiwango cha aibu sana huku watesi wake ndani ya kanisa hilo hawakua na habari nae na wasiweze kufanya yapasayo juu yake.

Shukrani za kipekee ziiendee serikali sikivu ya CCM kwa namna ilivyojitolea kinagaubaga tena kwa haraka sana kuficha fedheha na aibu alizokua akizipitia kiongozi huyo mstaafu wa kanisa katoliki Tanzania, hasa alipokua dhaifu sana kiafya.

Pamoja na hayo,
kutokana na misimamo yake isiyoyumba katika imani katoliki,
mapadre na maaskofu wengi ndani ya kanisa katoliki walimuona kadinali Polycarp Pengo kama kikwazo kwatika kutimiza matamanio yao ya kimwili hasa kisiasa na kuliingiza kanisa katoliki katika ujumla wake katika siasa.
Ama kwa hakika, ndani ya kanisa katoliki kwa sasa kwa baadhi ya mapadre na maaskofu kufa ni kufaana.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Japo uliloliandika it's just your own imagination or rather your cheap fabrications lakini ukweli Pengo aligeuka chawa akawa mnafiki no wonder back then Kilaini ndiyo alikuwa kipenzi cha Wakatoliki. Ni aibu kwa kiongozi wa institution isiyoyumbishwa misimamo kama hao RC kuendesha taasisi kipunguani kama ulivyo kwa BAKWATA. Wakifanya upunguani wa makanisa binafsi kama Mwamposa siwezi kushangaa kwani ule ni mradi aliouanzisha mwenyewe na malengo yake 'halisi' ni siri yake mwenyewe.
 
Na kwa unafiki wa kiwango cha juu sana, kila wakijaribu kuonyesha wana majonzi na huzuni kufuatia kifo cha Kadinali Polycarp Pengo, facial expressions zao zinakataa kushow up, lakini pia body language zinagoma kabisa kudhihirisha masikitiko yao. Kwa hakika wamefurahi sana na huenda wakawa na sherehe kubwa baada ya maziko ya kiongozi huyo asiyeyumba leo.

Halafu, karibia wote waliofurahia msiba huo, wameishia kufanya drama, kuonyesha dharau zao na utovu wa nidhamu kwa waombolezaji na kujaribu kuonyesha ufahari wa kinafiki msibani kwa kiongozi huyo wa kihistoria wa kanisa katoliki jimbo kuu katoliki la Dar.Es Salaam.

Hayati Kadinali Polycarp Pengo ameaga dunia katika hali ya upweke wa kiwango cha aibu sana huku watesi wake ndani ya kanisa hilo hawakua na habari nae na wasiweze kufanya yapasayo juu yake.

Shukrani za kipekee ziiendee serikali sikivu ya CCM kwa namna ilivyojitolea kinagaubaga tena kwa haraka sana kuficha fedheha na aibu alizokua akizipitia kiongozi huyo mstaafu wa kanisa katoliki Tanzania, hasa alipokua dhaifu sana kiafya.

Pamoja na hayo,
kutokana na misimamo yake isiyoyumba katika imani katoliki,
mapadre na maaskofu wengi ndani ya kanisa katoliki walimuona kadinali Polycarp Pengo kama kikwazo kwatika kutimiza matamanio yao ya kimwili hasa kisiasa na kuliingiza kanisa katoliki katika ujumla wake katika siasa.
Ama kwa hakika, ndani ya kanisa katoliki kwa sasa kwa baadhi ya mapadre na maaskofu kufa ni kufaana.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

KUNA HABARI HAZINA UMUHIMU WA KUANDIKA MTU AKISHA KUFA!!!
 
Mkuu, ebu wahi kwenda kuangalia jinsi ulivyoathirika kiafya ya akili. Ukichelewa kidogo tu toka hivi sasa itakuwa complete Milembe case.
 
Chuki binafsi imeakua chanzo kikuu cha tatizo la moyo,
huenda una changamoto hiyo pia gentleman,

ni muhimu kujifunza kusamehe kuliko kua na chuki hadi kufikia hatua ya kufurahia binadamu mwenzako kufa kama hao mapadre wakatoliki
 
Na kwa unafiki wa kiwango cha juu sana, kila wakijaribu kuonyesha wana majonzi na huzuni kufuatia kifo cha Kadinali Polycarp Pengo, facial expressions zao zinakataa kushow up, lakini pia body language zinagoma kabisa kudhihirisha masikitiko yao. Kwa hakika wamefurahi sana na huenda wakawa na sherehe kubwa baada ya maziko ya kiongozi huyo asiyeyumba leo.

Halafu, karibia wote waliofurahia msiba huo, wameishia kufanya drama, kuonyesha dharau zao na utovu wa nidhamu kwa waombolezaji na kujaribu kuonyesha ufahari wa kinafiki msibani kwa kiongozi huyo wa kihistoria wa kanisa katoliki jimbo kuu katoliki la Dar.Es Salaam.

Hayati Kadinali Polycarp Pengo ameaga dunia katika hali ya upweke wa kiwango cha aibu sana huku watesi wake ndani ya kanisa hilo hawakua na habari nae na wasiweze kufanya yapasayo juu yake.

Shukrani za kipekee ziiendee serikali sikivu ya CCM kwa namna ilivyojitolea kinagaubaga tena kwa haraka sana kuficha fedheha na aibu alizokua akizipitia kiongozi huyo mstaafu wa kanisa katoliki Tanzania, hasa alipokua dhaifu sana kiafya.

Pamoja na hayo,
kutokana na misimamo yake isiyoyumba katika imani katoliki,
mapadre na maaskofu wengi ndani ya kanisa katoliki walimuona kadinali Polycarp Pengo kama kikwazo kwatika kutimiza matamanio yao ya kimwili hasa kisiasa na kuliingiza kanisa katoliki katika ujumla wake katika siasa.
Ama kwa hakika, ndani ya kanisa katoliki kwa sasa kwa baadhi ya mapadre na maaskofu kufa ni kufaana.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hivi wewe nikikuita mwanga,mchawi nitakuwa ninakosea?
 
Kwa sababu Pengo alikuwa mwana CCM na wao ni vibaraka wa beberu wakimsaidia Chadema.
 
Back
Top Bottom