MAPAMBANO AMBAYO YAPO MBELE YAKO!
Anaandika, Robert Heriel
Kabla sijaenda mbali, niseme maisha yanahitaji roho ngumu ya ustahimilivu, bila roho ngumu haya maisha yatakutoa Knockout katika hatua za awali kabisa
Labda niweke hivi;
1. Kuwa hodari na jasiri. Usiwe muoga oga, kwenye maisha huna la...