Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba.
Kikwete alisema Dr Mvungi alikuwa anapiga kambi hotelini kule Bagamoyo akifanya michakato ya namna ya kuipata katiba mpya itakayowainua...
Baada ya kuwaza na kuwazua yule Mwasi mkuu yaani Shetani akaja na wazo ili kudumisha wazo lake la kutokufa hakika (Mwanzo 3:4),alitunga Uongo mwingine ili kulinda uongo wake wa awali.
Wazo lake likawa hivi: MTU AKIFA ROHO YAKE HAIFI,ITAENDELEA KUISHI MAHALI PENGINE.
Katika uongo huu ameilevya...
Wasema imefikia wakati wa Belarus kujiokoa kutoka kwenye mikono ya Mrusi, waelekea Ukraine kufanya yao huko, na hii itasababisha vitaifa vyote ambavyo vimekua vikinyanyaswa na Urusi kujiunga pia kwenye haya mapambano. Huu ndio muda muafaka wa Mrusi kufumwa mkuki maana tayari kalegea na...
Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo.
Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO.
Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu...
Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi.
Je...
Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021.
Fuatilia matangazo hapa
Dondoo ujio wa...
Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi.
Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume...
Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.
Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.
Kiongozi dikteta si wa zama hizi.
Hautakuwa peke yako baba askofu.
Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake.
Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu.
Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia? Mambo mema kabisa kwetu, watoto wetu na hata watoto wa wajukuu zetu.
Mapambano haya yaliyoendelezwa...
Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo.
Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya inazidi kuandikwa, na picha za Mbowe kuwa Mahakamani na za kuachiwa huru au hata kufungwa gerezani...
Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia.
Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala.
Kwenye demokrasia:
1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo,
2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo,
3. polisi...
Utangulizi
Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
Asubuhi ya leo, nilileta uzi hapa nikionya kuwa ukimfunga Mbowe, utafanya wapinzani waone hawana tena cha kupoteza kwa kufungwa au kuwekwa mahabusu.
Nilionya kuwa hatua ya kuwaweka ndani inawafanya kuwa majasiri zaidi.
Kabla jua halijazama, Mdude Chadema, aliekaa ndani kwa muda mrefu, jioni...
Unajua wakati mwingine wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa tena sometimes kwa kukosa maarifa madogo tu.
Mfano halisi wa hiki ninachosema ni sisi wanadamu kutumia nguvu kubwa kuhimiza watu kunawa mikono/kutakasa mikono katika kudhibiti maambukizi ya corona na kutumia nguvu kidogo kuhimiza...
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na kuingia mfumo wa vyama vingi yalifanyika kwa ridhaa na kwa mujibu wa sheria na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayosimamia misingi ya kidemokrasia kinyume na madai...
SHAKA HAMDU SHAKA: TANZANIA HAIKO KWENYE MAPAMBANO YA DEMOKRASIA.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam.
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.