mapandikizi

  1. JamiiForums Tanzania Za ndani kabisaa. Kuna mapandikizi ndani ya Chadema yametumwa hivi karibuni kukiharibu chama. Yanajisahau hii sio Chadema ya Mbowe

    Yanatumia mbinu za kizamamani kama enzi zile za Nazi ya ujerumani. Kurekodi na kutuma taatifa huko CCM. Yanajifanya ni mamtu matiifu kwa Chadema lakini sio kweli. Soon yataaibika maana hii sio ile Chadema ya Mbowe.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  3. JamiiForums Tanzania Je, waarabu hawaipendi Irani au kuna mapandikizi katika nchi zinazoizunguka Iran?

    Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake. Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  5. JamiiForums Tanzania Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

    Salaam wakuu, Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao. Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
  7. JamiiForums Tanzania Kama tunaweza kuteua Marehemu, inatia shaka suala la Vetting linafanyikaje na je kuna mapandikizi kiasi gani Serikalini

    Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale wanaochaguliwa kuwa na sifa zinazohitajika, wanakubalika, na hawana dosari zinazoweza kuathiri utendaji...
  8. JamiiForums Tanzania Tunatekeleza maelekezo ya Rais kwa vitendo, barakoa za mabeberu zina mapandikizi ya COVID19

  9. JamiiForums Tanzania Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…