Je, waarabu hawaipendi Irani au kuna mapandikizi katika nchi zinazoizunguka Iran?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake.

Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui hata kidogo umoja wao ndiyo mafanikio yao.

HILI JAMBO HALIPO KIIMANI TUSIDANGANYANE.
 
Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa mda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba ,kila nchi pale mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake.

Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui hata kidogo umoja wao ndiyo mafanikio yao.

HILI JAMBO HALIPO KIIMANI TUSIDANGANYANE.
Dini ni Uislam lakini madhehebu ni tofauti, kuna Sunni, Shia na mengine.

Kwa mfano Saudia ni Sunni, Jordan asilimia 95 ni Sunni na Syria na Bahrain ni hivyohivyo WaSunni ndo wanotawala.

Ndo maana waona ukimya kwa sababu nchi hizo ni Sunni ambao ndo washirika wa nchi za magharibi.
 
hili suala siyo la kiimanj ni inshu ya uchumi na siasa
 
Wanaogopa kulipa gharama. Vita ina gharama kubwa sana kulipa, ndio maana US anapigania huko mbali, pesa na majengo unaweza kuvipata lakini uhai uko mara moja tu, IRAN ndio kikwazo middle east, mataifa ya kiarabu tayari yapo mfukoni Kwa US.
 
Vyama mbalimbali vya upinzani wameitisha maandamano ndani ya iran wakihamisha wananchi kuandamana na kuondoa utawala wa ayatollah..huu ndiyo mwisho wao Kwa viongozi wa Iran na chama chao
 
Dini ni Uislam lakini madhehebu ni tofauti, kuna Sunni, Shia na mengine.

Kwa mfano Saudia ni Sunni, Jordan asilimia 95 ni Sunni na Syria na Bahrain ni hivyohivyo WaSunni ndo wanotawala.

Ndo maana waona ukimya kwa sababu nchi hizo ni Sunni ambao ndo washirika wa nchi za magharibi.
Lakini Jordan na Iraq nao wanatungua makombora ya Iran yanayoelekezwa Israel, na hawataki Iran atumie anga lake kwa vita yake na Israel.
 
Mkuu jifunze geopolitics itakusaidia sana kufahamu masuala kama haya ya mashariki ya kati.

Jordan na Iraq ni sehemu ya miundombinu ya kijeshi ya Marekani na UK hivyo Iran akabiliana na nguvu zingine za ziada zinoisadia Israel.

Ndo maana Iran ikamchukua muda sana kuanza kuinuka na kurusha makombora kwenda Haifa na miji mingine ndani ya Israel.

Yanoikumba Israel hutaweza kuyaona yote kwani Media za kimataifa zote zipo upande wa Israel.

Hivyo nikirudi kwenye point yako kuhusu kwamba hao hawataki Iran atumie anga zao ukweli ni kwamba isingekuwa nchi hizo kutumika na kuzuia makombora ya kutoka Iran kwenda Israel, basi leo hii sehemu kubwa ya Israel ingekuwa imebomolewa.
 
Makombora mengi tu ya Iran yamezuiwa na Iron dome na hayo yote yamepita kwenye nchi kadhaa mpaka kufika Israel
 
Dini ni Uislam lakini madhehebu ni tofauti, kuna Sunni, Shia na mengine.

Kwa mfano Saudia ni Sunni, Jordan asilimia 95 ni Sunni na Syria na Bahrain ni hivyohivyo WaSunni ndo wanotawala.

Ndo maana waona ukimya kwa sababu nchi hizo ni Sunni ambao ndo washirika wa nchi za magharibi.
Sababu ya uwongo,mbona Iran kipindi cha mfalme shaha haikuwa Ivi? Useme tu hao waarabu na Irani wapo mikondo tofauti ya kisiasa kama south Korea na north Korea
 
Mkuu jifunze geopolitics itakusaidia sana kufahamu masuala kama haya ya mashariki ya kati.

Jordan na Iraq ni sehemu ya miundombinu ya kijeshi ya Marekani na UK hivyo Iran akabiliana na nguvu zingine za ziada zinoisadia Israel.

Ndo maana Iran ikamchukua muda sana kuanza kuinuka na kurusha makombora kwenda Haifa na miji mingine ndani ya Israel.

Yanoikumba Israel hutaweza kuyaona yote kwani Media za kimataifa zote zipo upande wa Israel.

Hivyo nikirudi kwenye point yako kuhusu kwamba hao hawataki Iran atumie anga zao ukweli ni kwamba isingekuwa nchi hizo kutumika na kuzuia makombora ya kutoka Iran kwenda Israel, basi leo hii sehemu kubwa ya Israel ingekuwa imebomolewa.
Hivi ukiwa mfuasi wa mwamedi lazima uwe muongo?

Hivi unajua iran wamezima internet watu hawaruhusiwi kuonyesha uharibifu

Israel media zote zinaonyesha kila kinachoendelea

Hafu unasema media zipo upande wa israel
 
Back
Top Bottom