Mbunge wa Lupa mkoani Mbeya, Masache Kasaka ameipongeza Wizara ya Madini kwa kuendelea kuongeza mapato ya Serikali, huku Pato la Taifa likifikia asilimia 11.9.
Akichangia bungeni leo Jumatatu Aprili 27, 2026, amesema makusanyo ya wizara hiyo yameongezeka kutoka asilimia 9.1 ya mfuko mkuu mwaka...