Mbunge Masache: Mapato ya madini yameongezeka kutoka asilimia 9.1 mwaka 2023 hadi asilimia 11 mwaka 2025

Mbunge Masache: Mapato ya madini yameongezeka kutoka asilimia 9.1 mwaka 2023 hadi asilimia 11 mwaka 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Lupa mkoani Mbeya, Masache Kasaka ameipongeza Wizara ya Madini kwa kuendelea kuongeza mapato ya Serikali, huku Pato la Taifa likifikia asilimia 11.9.

Akichangia bungeni leo Jumatatu Aprili 27, 2026, amesema makusanyo ya wizara hiyo yameongezeka kutoka asilimia 9.1 ya mfuko mkuu mwaka 2023 hadi kufikia asilimia 11 mwaka 2025.

“Naipongeza wizara kwa kuendelea kuongeza mapato kutoka asilimia 9.1 mwaka 2023 hadi asilimia 11 mwaka 2025. Haya ni mafanikio makubwa sana,” amesema Kasaka.

 
Hii nchi kuna mambo yanakasirisha sana.... yaani ni upuuzi mtupo
 
Back
Top Bottom