mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

    Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo. Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali. Kutokana na idadi kubwa ya...
  2. Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

    Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane .. Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia .. Kesho...
  3. Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  4. Tumeanza kukataana mapema sana! Je msamaha wa madhambi yasiyojulikana umechangia?

    Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena. Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike. Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo...
  5. Anza mwaka kwa kufanya makadirio ya kodi kwa wakati: Fanya makadirio ya kodi ya mapato mapema na epuka adhabu

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2023), mlipa kodi (binafsi au kampuni) anahitajika kufanya na kuwasilisha makadirio ya kodi ya mapato kwa wakati. Sheria hii inaweka miongozo ifuatayo: 1. Muda wa Kuwasilisha Makadirio ya Kodi...
  6. Waambieni mapema wanaowaza kujiua: “wataruka majivu na kukanyaga moto.”

    Inasikitisha sana kusikia kesi za watu wanaojiua, ama kwa kunywa sumu, kwa kujinyonga, kwa kujipiga risasi au kwa kujitupa chini kutoka ghorofani. Wanaofanya hivyo huwa wanafikiri kwamba wakijiua ndio watapumzika tabu zao. Wanafikiri kujiua ndio mwisho wa kero walizo nazo. Wanadhani wakijiua...
  7. Namwona azizi ki..kengold inamsubiria kwa mkopo eng uza huyu mapema

    Kwa yanayoendelea kwa kaka yetu Sitoshangaa kusikia yanga amemtoa aziziz ki kwa mkopo kengold USHAURI tu kama vipi Baba engn huyuu muuzen mapema kabisa Hikituu anachokifanya Leo mkiona HATA WAZAZI HAWATAKI kusikia basi na YANGA mjiandae na MSIBA mtaniambia Nikopale Cc Pdidyjr2025
  8. Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
  9. Lissu chama kinamshinda mapema sana. Chadema haieleweki inafanya nini

    Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee. Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema. Alipata alichokitaka. Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama...
  10. Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

    Habari wakuu Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
  11. Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

    Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika" Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
  12. Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  13. M

    Lissu kashindwa mapema?

    Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano. Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao. Sote...
  14. M

    Suala la kufunga shule kupisha ugeni lilitakiwa kupangwa mapema

    Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa Usiku huu. Kiutaratibu taarifa inatolewa na serikali then taasisi, shule na vyuo husika ndipo nao...
  15. R

    Waziri wa Afya upi msimamo wa serikali? Wajawazito walipe au wasilipe? Kama wanalipa tupe orodha ya mahitaji na gharama

    Waziri wa Afya nadhani umeona kauli ya RC. Naamini huo siyo msimamo wa CCm na serikali yake. Wewe kama Waziri mwenye dhamana unapaswa aidha kukemea au kuweka taarifa sawa la sivyo haya maelekezo ya RC yanakwenda kuwa msimamo wa watumishi wa afya kuanzia mjini hadi kijijini. Kumbuka RC amesema...
  16. R

    Kwanini watia nia nafasi ya Urais wanaruhusiwa kuonyesha nia zao mapema lakini wagombea ubunge na udiwani wanaonekana kama wanatenda jinai ?

    Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao? Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
  17. TFF wanatakiwa kumpa Job tuzo yake mapema

    I salute kinsmen Kwa sasa Africa mashariki na kati na pengine Africa nzima inaeleweka wazi hakuna beki wa kati kumzidi kitasa Dickson Job! Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana Composure ya hali ya juu Passing ability ya kuwazidi hata viungo wote pale simba Marking ya hali ya juu sana, Kama...
  18. Mgawanyiko na mpasuko ndani ya CHADEMA, sasa wadhihirika bayana na unaelekea pabaya usipodhibitiwa mapema kisiasa

    Mwanzoni viongozi waandamizi wa chadema hususani ngazi ya taifa walikua wakijipiga kifua sana hadaharani kwamba hakuna mgawanyiko wala mpasuko wowote ndani ya chadema, ispokua kilichokua kinajitokeza ni uhuru wa viongozi na wanachama wa chadema kutoa maoni na mitazamo yao dhidi ya waliyo kua...
  19. Haya makundi Manne yakimuunga mkono Tundu lissu , mapema uchaguzi 2025 anaingia Ikulu

    Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika. Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale...
  20. Kuzaa mapema ni kujiongezea majukumu yasiyokuwa ya lazima

    Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia. Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…