UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari
Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ?
Hapo zamani nchi ilikuwa...
Nnaimani mnaendelea vizuri wanajamii forum,
Kama kawaida yangu kuwaleteeni Mikasa inayonitokea kwenye maisha yangu, sababu hapa ndio sehemu pekee nisiyojulikana uhalisia wangu, napata uhuru zaidi wa kufunguka ili kupata ushauri wa kunikosoa na kuniita moyo.
Ni hivi baada ya kutengana na...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku.
wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi...
Kuna wakati huku mitandaoni kulikuwa na takwimu zilikuwa zinatembea za idadi ya watu wakubwa ambalo wamefariki na kuwaacha wake zao wanaishi tena kwa miaka mingi baada ya waume zao kudanji. Zile takwimu zina mengi sana ya kuelezea ni basi tu mambo ya mitandaoni tunayachukulia kwa mzaha.
Wanaume...
Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu.
Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa...
Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa.
Hospitali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana.
Life expectancy Kama imeshuka.
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84.
Sasa...
Huenda haitazidi ijumaa ya kesho..
Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Lissu amewataka Watia nia...
Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.
Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja...
Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya hivi majuzi dhidi ya Hezbollah ilihitaji miezi ya maandalizi ya kina. "Hezbollah inajaribu kutathmini...
Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
Je, na Sisi 'Team Tanzania Njema' akina GENTAMYCINE tutaanza kurudishwa lini ili tusaidie Tanzania yetu ambayo tunaanza kuiona ikizama kwa mambo mengi japo 'Team Tanzania tupo tupo tu' hawajui lolote na hawalioni hilo?
Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana.
Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao.
Angali wafuato.
Jpm kafa ghafla na mapema mno...
ladies and gentlemen,
sijatangaza uanze kuchungulia kidevu au kichwa cha huyo kijana mwenzako hapo jirani, kama ana mvi ama la, halafu kisha uanze kumtathimini kana kwamba ni mpiga nyeto; hapana sijasema wala kumaanisha hivyo, bali nimeuliza tu, sio kwa ubaya lakini kwa wadau kwamba,
kwenye...
Huwa kuna vijana wafanyabiashara wanapata upepo mkali wa pesa uelekeo wao wakiwa wadogo kwenye rika la 20s - 30s za mwanzo, Ghafla kuna kipindi inatokea biashara zinayumba nao huanza kudondoka kiuchumi, aina hii ya vijana ni ngumu kuwaona wanajirudi upya, wanaojitahidi kujirudi upya huwa wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.