Kama kuna hatari unaweza kumsababishia ndugu, rafiki, kiongozi au yeyote unayemuhusudu ni kumsifia na kumtegemea kupitiliza.
Mungu mwenye wivu huwa anawasaidia wanadamu wanaowategemea kupitiliza wenzao tena kuwapa sifa kinafiki au kihalali kwa kuwapumzisha makaburini mapema wategemewa hao.
Hii...
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.
Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka.
Hata...
Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa.
Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.
Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).
Tukirejea hapa nyumbani kwasababu...
Waziri mwenye dhamana ya michezo wa Tanzania, Ndumbaru, siku ya leo amesikika akipiga marufuku watanzania wenye ushabiki (watakao vaa jezi) wa vilabu vya nje vinavyokuja kushindana na timu za Tanzania (Simba na Yanga) kuonekana uwanjani.
Kwa hakika hii sio kauli ya kiungwana kwenye soka, na...
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Nimetoka Uganda mara ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwa huko kwa Miaka Sita ya...
Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa.
Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa .
Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
Naombeni muongozo. Sina connection TRA.
Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana.
Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!!
Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki Ndakindaki wa Simba Niliambiwa na Jamaa Angu Geof Lea Ambae ni Mwanahabari wa Kituo cha EFM na Pia Yeye...
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama...
UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni tafsiri halisi ya maiti inayoishi.
Utoto ni raha kwa sababu utoto unahusisha ushirikiano wa mtoto...
Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
Habari wapendwa! Katika maisha yangu ya kiutumishi mpaka sasa nimegundua kuwa watu wengi wanaishi kwa mapenzi ya wachawi, watu wengi wanakufa kabla ya siku zao, watu wengi ni masikini kwa sababu ya vifungo walivyo navyo, watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo sio kusudi la Mungu wao kuishi...
Mudathir Yahya: Nyota Inayong'ara wa Young Africans SC
here is why??
# Uwanjani: Uchezaji wa Kusisimua
Mudathir Yahya amekuwa akiwasha moto uwanjani. Uwezo wake wa kubadilisha mwelekeo, kuona vizuri uwanjani, na kudhibiti kiungo cha kati unamfanya kuwa mchezaji wa pekee. Kuanzia kuzuia pasi...
Kama nchi, kuna mahali mfumo ulishindwa kufanya kazi sawasawa. Either Bodi ya Sukari, au Taasisi ya Takwimu au Vitengo ndani ya wizara.
Nani hakufanya nini ambacho alitakiwa kufanya? Na katika sekta nyingine mbali na sukari, mifumo yetu ina njia za kutoa tahadhari kwa viongozi?
Iwe ndani ya...
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.