mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PakiJinja

    Yanga mmesema Tiketi za VIP zimeshaisha, tunaomna mtutangazie mapema kuhusu kuingia bure

    Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out. Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema wakatutangazia mapema kuhusu kuingia bure siku ya Wananchi ili tuweze kujiandaa kuujaza Uwania, na...
  2. William Mshumbusi

    Kibu Denis mamilion ya Simba yamemchanganya anahiyaji msaada wavushauri nasaha mapema yasimkute ya Mwisho Mwampamba au Idrisa Sultan

    Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza. Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto. Wote mnamuita Mama au Baba mnamshauri nini afanye. Madhara ya starehe na kilakitu ndio mnaweka mzigo...
  3. GENTAMYCINE

    Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  4. G

    Pre GE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  5. ndege JOHN

    Kwa kikokotoo hiki ni wazi unakufa mapema kuliko hata ungepewa yote.

    Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko serikali ilivyofikiria.
  6. Pdidy

    Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  7. GENTAMYCINE

    Sijui tumejiandaaje na hizi Hujuma ambazo zilitugharimu sana Misimu Miwili iliyopita japo tulionya mapema ila tukapuuzwa na Wapuuzi

    1. Kwa Makusudi Wachezaji wetu Mahiri hasa wa Kigeni Kuchezewa Rafu mbaya katika Mechi Tatu za mwanzo za Ligi 2. Maadui kwenda Bunju huku wakiwa wamevaa Jezi zetu na baada ya Mazoezi wanakusanya Nyasi na Mchanga wa Uwanja kisha kwenda Kuwafunga Kiushirikina Wachezaji wetu 3. Mtu Mmoja katika...
  8. Melki Wamatukio

    Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

    1. Mrembo sana 2. Msanii (wa filamu, muziki) 3. Askari 4. Baa medi/hotelia 5. Mlokole 6. Nesi / Daktari 7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu) 8. Mwanamke kutokea familia ya kishua NB. Picha haihusiani na mada
  9. C

    "Hustler" awakacha wenzake mapema asubuhi (bottom-up ilikua zuga)

    Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
  10. M

    Kuchelewa kuoa haimaanishi utaoa mtu sahihi. Vijana fungeni ndoa mapema hata mkishindwana mnaanza upya

    Habari wadau. Vijana wengi wanachelewa sana kufunga ndoa kwa kisingizio cha kusubiri mwenza bora. Ukweli ni kwamba marrying late doesn't guarantee you will marry right. Vijana fungeni ndoa mapema na wenza wenu. Waiting long doesn't guarantee a good marriage
  11. Pekejeng

    Serikali huwa inakuwa wapi kutoa ufafanuzi mapema?

    Kwa mtazamo wangu haya mambo yakuleta ufafanuzi baada ya kuibuka mijadala ambayo serikali inaona ni upotoshaji, Huwa inaleta sana ukakasi na sitomfahamu nyingi kwa wananchi kwanini wasiwe na utaratibu wakutupa taarifa yakila mikataba/mikopo mapema na kwa uwazi zaidi. Isiwe inakaa kimya mpaka...
  12. BLACK MOVEMENT

    Tetesi: Kuna uhamishaji wa raia unakuja mapema mwaka 2026 kupisha wawekezaji, kaeni mkao

    Yele yanayo tokea Kilimanjaro Airport na kule Ngorongoro ni trela tu, full Move inakuja na kuna kulia na kuswaga meno mwaka 2026. Kinacho ngojwa kwa sasa ni uchaguzi upite kwanza kabla ya move kuanza. Maeneo yafuatayo watu watalia sana. 1. Longido kupisha MWarabu.Poli la Longido anapewa...
  13. DR HAYA LAND

    Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

    Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza Rekebisheni mdomo , value man...
  14. Dr Matola PhD

    Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

    Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna...
  15. kalisheshe

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo. Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
  16. Tlaatlaah

    Uovu usipokemewa na kudhibitiwa mapema hukomaa na kuwa haki

    Ni jambo gani ovu au si zuri kimaadili au kiimani, ambalo unalifahamu halikukemewa na kudhibitiwa vilivyo na sasa hivi jambo hilo linatetewa kana kwamba ni haki, hali ya kuwa halifai kulingana na mila, desturi na tamaduni za Kitanzania 🐒 Hebu ongeza unalokumbuka na kuliona mie naona hili la...
  17. matunduizi

    Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

    Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi. Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia kiingie ili kilete pesa zaidi 1: Chakula Hakikisha una mfumo imara wa kula tena kula vizuri...
  18. GENTAMYCINE

    Simba SC nawashaurini mapema leo hapa JamiiForums kuwa kamwe msimsajili Fiston Mayele kwani hatokuwa msaada wowote ule Kwetu

    Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
  19. Mhafidhina07

    Kuelekea Kariakoo Derby nawashauri Simba watafute mganga mapema au wahonge walinzi mapema

    Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
  20. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
Back
Top Bottom