Mwili una mifumo imara ya kutambua mapungufu na mahitaji yake.
Kwa hiyo jaribio lolote la kuuelekeza (to dictate) mwili nini cha kufanya ni kuharibu miitikio ya kimaumbile.
Mwili hutoa viashiria mbalimbali unapokuwa na mahitaji ama mapungufu;
1. Kiu.........maji.
2. Njaa....chakula.
3...
Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini.
Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili mbalimbali kama mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, matatizo ya kihisia na ya kimwili ambayo hawajawahi...
Salam wananchi, natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa la mama kizimkazi. Naomba kusema kitu japokua roho na nafsi vinauma.
Viongozi wa team yetu pendwa ya Young African kuna sehem wana shida kubwa sehem sana kuhusu suala la kutoa likizo kwa wachezaji nyota katika tena...
Ushindi kwa Simba SC leo nauona ni wa 20% tu (japo Wakishinda nitashukuru kwani Mechi hii ya leo ni Ngumu hasa kwa nje ya Uwanja), 25% ni Kufungwa na 55% naona ni Sare / Suluhu kwa Simba SC.
Huyo huyo Kiongozi katumiiza kwa Mchezaji Shekhan wa Zanzibar, huyo huyo tena akaja Kutuumiza Mechi ya...
GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao.
Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!.
Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi...
Wanabodi,
Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,
Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.
Zawadi...
Bila kufika saa sita au saa saba bado sijapata usingizi, hata nikilaximisha kulala saa tatu au nne, usingizi hauji, na ukija, saa sita nitashtuka hapo ni mpaka majogoo ndo nisikie usingizi.
Ila saa hizi kuna mtu amekoroma muda mrefu sana
Salaam, Shalom!!
Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu.
Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na kuwachukulia fomu wagombea wa nafasi mbalimbali, Hasa ubunge na Ile ya juu zaidi ilhali muda Bado...
Mnashindwaje kuyachukulia uzito matukio makubwa mawili kama haya?
Rais wetu Ndugu mueshimiwa mwinyi ametumia kukarabati uwanja wa Amani kwa usd kadhaa na tukio kubwa la Tanzania liko zenji mmetukatia sisi wa mikoani umeme tusokuwa na majereta tusione, mnauangusha uchumi wa blue ndugu zangu...
Elimu sio ya kuibeza lakini ni vipi kama mzazi/mlezi una biashara ama umejiajiri kwanini umkazanie mtoto awe anasoma tu wakati wewe una formula ya uhakika ya kupiga pesa ? inasahangaza kuona mzazi anaingiza almost milioni 3 na kuendelea kila mwezi lakini anamkazania mtoto awe anasoma tu ili aje...
Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo.
Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani...
Gaza ikiwa ni kama gereza la wazi la muda mrefu imefungiwa na kila kitu kuingia humo chini ya uangalizi wa Israel.Hata mawasiliano pia lazima yapitie Israel.
Mara Israel ilipoamua kuingiza askari wa miguu wakiongozwa na vifaru ilijua ingepata hasara kubwa ambazo wasingependa zijulikane na raia...
Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Mradi huu ni maono ya waziri Hussein Bashe, unaongozwa kwa mahesabu makali sana, tulijua kundi la kwanza litakaa field miezi miwili au mitatu kisha wagawiwe mashamba yao kama walivyokuwa wameahidiwa ili waende wakayasimamie wenyewe lakini mpaka sasa wamewashikilia na kuwaweka pamoja huu ni mwaka...
Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa.
Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya.
Hii siyo Ishara nzuri...
Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka jana 2022(saa 2:01:53), bila kumsahau mtanzania Gabriel Geay alishika nafasi ya 5 katika shindano hili...
Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi...
Hapa najifanya msemaji wa Chama kwa kuwa nakipenda Chama changu, nakiamini na sina mpango wowote wa kukiacha, tunapoelekea miaka mingine mitano ya Samia, wapinzani wa ndani ya chama, mafisadi yaliyoko ndani ya chama, manyangau walioko ndani ya chama, leteni hoja zenu mapema, wanachama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.