mapendekezo ya nauli mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania Serikali imetangaza nauli mpya za mabasi, daladala na teksi, kuanza kutumika siku 14 kuanzia leo tarehe 17/4/2026

    Latra imesema mabadiliko ya nauli yanalenga kuendana na hali halisi ya gharama za uendeshaji wa huduma za usafiri. Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafa marefu, mabasi ya mijini (daladala), teksi mtandao pamoja na...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya nauli mpya jijini Dar. Nauli ya 900 kupanda hadi 2,100. Tutafute hela ndugu zangu, yajayo yanafurahisha

    Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Sabri Mabrouk, ametangaza mapendekezo ya viwango vipya vya nauli za mabasi ya abiria (daladala) jijini humo, yakionyesha ongezeko kubwa kulingana na umbali wa safari. Akifafanua mapendekezo hayo kwenye mahojiano, Bw...
Back
Top Bottom