Latra imesema mabadiliko ya nauli yanalenga kuendana na hali halisi ya gharama za uendeshaji wa huduma za usafiri.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafa marefu, mabasi ya mijini (daladala), teksi mtandao pamoja na...
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Sabri Mabrouk, ametangaza mapendekezo ya viwango vipya vya nauli za mabasi ya abiria (daladala) jijini humo, yakionyesha ongezeko kubwa kulingana na umbali wa safari.
Akifafanua mapendekezo hayo kwenye mahojiano, Bw...