HAbar za wakati.
Nilikuwa namfukuzia Binti mmoja ambaye Kwa mwanzo tulikuwa na urafiki zaid ya mwaka na nusu ingawa alikuwa na mahusiano yake ambayo yalikuwa mkoani huko
Baada ya kumueleza hisia zangu kwake akawa mgumu lakn baadae kama miezi kadhaa amenikubali na mama yake mzazi pia...
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa,
Mwanamke akikupenda:
Hakosi hela ya nauli
Hakosi hela ya saloni
Hakosi bando
Simu haiwezi kuisha chaji
Hawezi kuwa busy
Tatizo la vijana mnatumia hela kununua attention,
Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe.
Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado...
Leo Rafiki yangu kanisimulia👇🏻
Jamaa anasema, kuna mwamba alioa mwanamke mwenye mtoto wa miaka saba, akamlea yule binti kiroho safi kabisa na kwa upendo japo si bintiye akamsomesha inshot huduma zote jamaa akawa anatoa.
Baadae yule mwanamke wakafanikiwa kupata watoto wengine, sasa yule binti...
KUKOSA PESA KUNAWEZA FANYA UONEKANE MSUMBUFU KWENYE MAHUSIANO 😔
Maskini unaweza kuwa na upendo tu wa dhati na uaminifu mkubwa ila kukosa kwako tu pesa ukaonekana MSUMBUFU kwenye mahusiano.
Kumpigia simu za kumjali na salamu za hapa na pale ni msingi mzuri wa mahusiano ila kwa sababu tu huna...
Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua anatimba adi ghetto kwa jamaa kupiga story.
Sasa siku jamaa kayatwika kaamua kumrushia vocal mdogo wa ex-...
Nimeijua couple hii nyuma kidogo ya Pendamic ya Corona. Juzi wakati nimerudi kwa huu Mtaa nilishangaa kuikuta iko vile vile na pale pale nilipoikuta kwa mara ya kwanza. Makazi yao yapo kwenye kona ya kiosk( requor store) ndogo hapa Mtaani.
ukiingia ama kutoka kwa hii KIOSIK kama unachochote...
Ukiona unampenda mtu halafu bado kuna mambo ambayo unaona unataka uyabadilishe kwa mtu huyo basi tambua hujampenda kwa jinsi alivyo.
Mapenzi ya kweli ni kumpenda mtu kwa jinsi alivyo pamoja na mapungufu yake,hapo ndio utakuwa umempenda kweli,na hautakuja kuumia kwakuwa umeridhia kwa jinsi...
Kwema Wakuu!
Wasije wakakuloga ukawa mtumwa wao.
Wasije wakakudanganya kuwa usipowapa pesa ati hautawapata. Ni uongo.
Ni kosa kubwa wanalofanya vijana wengi kutoa wasipopewa. Kupanda wasipovuna.
Mapenzi ni kitu rahisi na chakawaida kama utatumia kanuni ya nipe nikupe. Tupeane.
Wengi...
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole.
Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi...
Akatokea mtoto akawashangaa watu wanasema Mfalme amevaa nguo nzuri, wakati Mfalme yuko uchi wa mnyama.
Badala ya kumshukuru mtoto kuwa kaacha unafiki na kusema ukweli wa kumsitiri mfalme, wanampiga mawe kuwa kamuaibisha Mfalme.
Tatizo: TUMEZOEA KUMWONA RAIS KAMA MUNGU, AKITOKEA MTU AKASEMA...
Hello guys,
Hivi unajua kwamba mwanamke akiwa anakupenda ukimsifia wewe ni mzuri huwa anafurahi? Hata sauti yake huwa inabadilika.
Ila kama hakupendi ukimsifia anaona kama unamkera, so mwaume mwenzangu chukua hii itakusaidia sana.
Kama upo nae karibu angali facial expresssion, ila kama yuko...
Habari,
Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where.
Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe.
Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.