mapenzi ya kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mshamba_hachekwi

    Mapenzi ya kweli yapo

    Leo wakati napitapita mtandaoni nimekutana na hiki kisa nimeona nikilete humu MMU; Kisa hiki ni hadithi ya ukweli ya mapenzi kati ya bibiye Kate na mumewe Godfrey, ambaye anasemekana kuwa ndo mwanaume mwenye sura mbaya kuliko wote duniani. Kate alipokwenda kumtambulisha Godfrey nyumbani kwao...
  2. Mamujay

    Wanawake wenye pesa ndio wenye mapenzi ya kweli

    Hapa povu ruksa Ila Kila mtu anauhuru wa kutoa maoni bila kulazimishwa. Kutokana na experience yangu nazani hayo Ni maoni yangu mwenye mtazamo tofauti njoo weka hoja hazarani
  3. kwisha

    Mapenzi ya kweli yapo kwa mwanamke mcheshi tu

    Mwenzenu nimepata mtoto mmoja hivi mkali ni mcheza komedi mtoto nipo naye kwenye mahusiano sasa hivi tuna kipindi cha mwezi Mbususu na chukuwa saana. Lakini hatuchokani. Najaribu kuleta za kuleta ili mtoto achukie tununiane kidogo Naishia kuambiwa asira nyingi uleta magonjwa ya moyo Na kata...
  4. L

    Natafuta mke wa kuoa (Eva ulietoka ubavuni mwangu Bado nakusubiria)

    Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote Dini- yeyote Rangi -Natural (asiwe wadukani) Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu. N:B Eva...
  5. Sky Eclat

    Mapenzi ya kweli ni adimu kama dhahabu na wengi tunayagundua baada ya kuyapoteza

    Frank ni mtoto wa mwalimu na baba yake alimkazia sana kwenye elimu yeye na ndugu zake. Kwa miaka yote wakiwa shule ya msingi baba yao hakuwahi kwenda kunywa bia bar, alirudi nyumbani na kuoga na kuanza kuwa mwalimu wa watoto wake. Topic za hesabu Frank alifundishwa mwezi mmoja kabla ya wenzake...
  6. K

    Nilipoteza mapenzi ya kweli kisa Familia

    Maisha haya bwana magumu saana. Nilikuwa na mwanamke wangu mzuri ambaye nilipendana naye saana. Huyo mwanamke alikuwa msaada mkubwa saana kwangu. Alikuwa ni mtu mwenye akili ya kufikiria mafanikio saana alikuwa hawezi kufanya kitu bila kunishirikisha. Na kuna siku kabisa nilimwambia nina plan...
  7. Y

    Mwanamke niliyenaye ananizidi elimu. Je, kutakuwa na mapenzi ya kweli?

    Guys mambo vipi, mimi nipo kwenye mahusiano na mdada ambaye amenizidi elimu yaani yeye ana bachela ya mambo ya elimu lakini mimi ni form 4 tu and tuna mpango wa kuja kuoana je kutakuwa na mapnzi ya dhati kweli hapo japo mimi nampenda for real?
  8. Sky Eclat

    Anapatikana wapi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, msikivu, na anaejua kusamehe!

  9. M

    Wanaume hii ni sawa?

    Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!. Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu. Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia...
  10. Balqior

    Hivi mwanaume unaweza kupata mapenzi ya kweli endapo umemzidi mwanamke miaka 13?

    Assume mimi ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, halafu namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mimi? Huyo binti hatonichukulia mimi kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor...
  11. BAK

    Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  12. 100 others

    Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

    "Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana.... Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba.... Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka...
Back
Top Bottom