mapenzi ya kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeamua kuanza upya bila kujali watasema nini

    HAbar za wakati. Nilikuwa namfukuzia Binti mmoja ambaye Kwa mwanzo tulikuwa na urafiki zaid ya mwaka na nusu ingawa alikuwa na mahusiano yake ambayo yalikuwa mkoani huko Baada ya kumueleza hisia zangu kwake akawa mgumu lakn baadae kama miezi kadhaa amenikubali na mama yake mzazi pia...
  2. asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  3. Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa

    Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa, Mwanamke akikupenda: Hakosi hela ya nauli Hakosi hela ya saloni Hakosi bando Simu haiwezi kuisha chaji Hawezi kuwa busy Tatizo la vijana mnatumia hela kununua attention, Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
  4. Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

    Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
  5. Nimemwambia akipata kazi na pesa ndiyo nitajua kama ana mapenzi ya kweli na mimi, kakasirika

    Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe. Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado...
  6. Binti anataka kuharibu penzi la mama yake kwa baba aliyemlea tangu akiwa na miaka 7

    Leo Rafiki yangu kanisimulia👇🏻 Jamaa anasema, kuna mwamba alioa mwanamke mwenye mtoto wa miaka saba, akamlea yule binti kiroho safi kabisa na kwa upendo japo si bintiye akamsomesha inshot huduma zote jamaa akawa anatoa. Baadae yule mwanamke wakafanikiwa kupata watoto wengine, sasa yule binti...
  7. M

    Una mapenzi ya kweli ila kukosa pesa ndio kunafanya uonekane msumbufu 😔

    KUKOSA PESA KUNAWEZA FANYA UONEKANE MSUMBUFU KWENYE MAHUSIANO 😔 Maskini unaweza kuwa na upendo tu wa dhati na uaminifu mkubwa ila kukosa kwako tu pesa ukaonekana MSUMBUFU kwenye mahusiano. Kumpigia simu za kumjali na salamu za hapa na pale ni msingi mzuri wa mahusiano ila kwa sababu tu huna...
  8. Jamaa kafanya kituko kamtongoza mdogo wa ex-wake unamshaurije?

    Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua anatimba adi ghetto kwa jamaa kupiga story. Sasa siku jamaa kayatwika kaamua kumrushia vocal mdogo wa ex-...
  9. Kama unahisi pesa ndiyo kila kitu fikiria hii couple

    Nimeijua couple hii nyuma kidogo ya Pendamic ya Corona. Juzi wakati nimerudi kwa huu Mtaa nilishangaa kuikuta iko vile vile na pale pale nilipoikuta kwa mara ya kwanza. Makazi yao yapo kwenye kona ya kiosk( requor store) ndogo hapa Mtaani. ukiingia ama kutoka kwa hii KIOSIK kama unachochote...
  10. Mwenye mapenzi ya kweli hahitaji kumbadilisha mtu

    Ukiona unampenda mtu halafu bado kuna mambo ambayo unaona unataka uyabadilishe kwa mtu huyo basi tambua hujampenda kwa jinsi alivyo. Mapenzi ya kweli ni kumpenda mtu kwa jinsi alivyo pamoja na mapungufu yake,hapo ndio utakuwa umempenda kweli,na hautakuja kuumia kwakuwa umeridhia kwa jinsi...
  11. Vijana: Akikupa pesa mpe na wewe, akikupa penzi mpe penzi. Peaneni sio wewe ndio uwe tuu unampa

    Kwema Wakuu! Wasije wakakuloga ukawa mtumwa wao. Wasije wakakudanganya kuwa usipowapa pesa ati hautawapata. Ni uongo. Ni kosa kubwa wanalofanya vijana wengi kutoa wasipopewa. Kupanda wasipovuna. Mapenzi ni kitu rahisi na chakawaida kama utatumia kanuni ya nipe nikupe. Tupeane. Wengi...
  12. Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
  13. Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

    Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole. Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi...
  14. C

    Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

    Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
  15. Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  16. "Wazuri ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa" kasema kweli diamond

    Yani wazuri ni wengi sana ila ndo pasua kichwa, hasa mjini, warembo kila kona lakini ni nightmare. Vijana watabisha
  17. R

    Kumsitiri mfalme, wenye nia njema na mapenzi ya kweli watamwambia kuwa "Mfalme uko uchi"

    Akatokea mtoto akawashangaa watu wanasema Mfalme amevaa nguo nzuri, wakati Mfalme yuko uchi wa mnyama. Badala ya kumshukuru mtoto kuwa kaacha unafiki na kusema ukweli wa kumsitiri mfalme, wanampiga mawe kuwa kamuaibisha Mfalme. Tatizo: TUMEZOEA KUMWONA RAIS KAMA MUNGU, AKITOKEA MTU AKASEMA...
  18. Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

    Hello guys, Hivi unajua kwamba mwanamke akiwa anakupenda ukimsifia wewe ni mzuri huwa anafurahi? Hata sauti yake huwa inabadilika. Ila kama hakupendi ukimsifia anaona kama unamkera, so mwaume mwenzangu chukua hii itakusaidia sana. Kama upo nae karibu angali facial expresssion, ila kama yuko...
  19. Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  20. Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

    Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe. Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…